Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza.
Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele?
Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele...