Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
Utangulizi:
Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mara nyengine ameendelea kuonyesha udhaifu mkubwa na ubadhirifu katika Fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu.
Fedha hizi ni 10% ya Mapato ya Ndani...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya watalii hao kuongeza siku za kukaa nchini na hatimaye kukuza pato la Taifa.
Amesema moja ya mkakati...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha.
Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.
Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima.
Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima...
Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika hatua za awali, ilikuwa imeanza kujenga ukaribu na wadau na ndipo mchakato wa kuanzisha Sheria ya Ulinzi...
Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries.
𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶?
Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
Caroline Nassoro
Hivi karibuni, serikali ya China ililegeza masharti na hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), na hii inatokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kudhibiti kuenea na vifo vinavyotokana na virusi hivyo. Binafsi, hatua hii imenipa matumaini...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo.
Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu.....
Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka.
Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
Hivi, Putin ana lipi lakuwaambia Warusi, kwamba vifo vya wanajeshi wao havikua na umuhimu wowote maana walichokua wameiba kimrejeshwa kizembe sana tena ndani ya siku chache tu...
Justin Bronk of the Royal United Services Institute (Rusi) told the BBC that Russian positions in Kharkiv had...
Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi.
Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.