kurejea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Muda wa kurejea kupima H-PYLORI

    Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8 zimeisha hivi natakiwa nikae muda gani ili nirudi tena kuhakikisha kama nimepona?
  2. I

    Tetesi: Aziz Ki Ngoma ngumu kwa waarabu, atajwa kurejea Yanga

    Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
  3. funaku

    Je Mbowe amejipanga kurejea nafasi yake CHADEMA?

    Hili ni swali muhimu kwa wananchi hivi sasa. Chadema ya sasa chini ya uwenyekiti wa LISSU imejikuta ikihangaika na vurugu na uhaini na usaliti tu kwa Tanzania. Je mbowe anapasha misuli kurejea na kuirejesha Chadema iliyotekwa na Mange kwenye ulingo wa siasa?
  4. DuaZaMama

    Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  5. W

    TMA: Kuanzia Desemba 11 mvua zitaanza kurejea Tabora

    Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Baada ya maboresho yao kurejea Nitahama rasmi CRDB

    Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini. Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika. Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA. Mods tusipangiane...
  7. veyra

    Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  8. ESCORT 1

    Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

    Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
  9. ELI COHEN

    Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  10. Zanzibar-ASP

    Je, Pole Pole atarejea sasa Tanzania? Usalama wake ukoje ikiwa ataamua kurejea? Namshauri asirejee sasa.

    Nimekaa nimewaza hilo, kwa namna Balozi aliyejiuzuru Humphrey Pole Pole alivyoinanga hadharani serikali ya sasa ya Tanzania, CCM na vyombo vya dola, huku akiharibu kabisa taswira ya Mama Samia kitaifa na kimataifa kwa uamuzi wake wa kujiuzuru huku akitoa sababu mujarabu. Je, atarejea sasa...
  11. E

    Ripoti: Tanzania yatajwa kurejea nyuma kiutawala bora

    Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na kuendelezwa kwa ndoa za utotoni. Hayo yamo kwenyue utafiti uliofanywa na (SAIIA) kwa kushirikiana na...
  12. MwananchiOG

    Wallace Karia hapaswi kurejea katika nafasi yake baada ya kuonyesha failure na upendeleo wa wazi katika sakata la derby

    Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
  13. DuaZaMama

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yajipanga kurejea katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu 2025

    wakuu === Nimekutana na hizi taarifa ni kweli CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mwenye taarifa za ukweli atusaidie.
  14. Zanzibar-ASP

    Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
  15. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

    Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19. Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
  16. Waufukweni

    Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
  17. DR Mambo Jambo

    Kwanini Tunalisukuma Taifa kwenye Inevitable Collapse? Moshi mweusi unapoonekana, Busara ni Kushusha Mapanga & Kurejea Mezani "Mungu Ibariki Tanzania"

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala inayozunguka kauli ya “No Reform, No Election” ambayo sasa imekuwa gumzo mitandaoni na imeanza kujitokeza pia kwenye majukwaa ya wazi, hasa Jana Usiku kwenyr Tamasha la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kama Mtanzania ninayeamini katika utulivu...
  18. Roving Journalist

    TASHICO yatangaza Meli ya MV Victoria kurejea kazini leo Mei 22, 2025 kuanza safari

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inawatangazia abiria na umma wote kwa jumla kuwa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu itaanza safari zake rasmi siku ya Alhamisi tarehe 22 Mei 2025 ikitokea Bandari ya Mwanza Kaskazini kuelekea Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemondo. Hivyo kampuni...
  19. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Hakuna dalili zozote kwa mbunge yoyote wa Covid 19 kurejea tena bungeni leo, kesho au milele!

    Mahesabu ya kisiasa yanaonyesha wale wabunge wa mchongo, viti maalum kupitia CHADEMA maarufu kama Covid 19 wamebakisha wiki chache sana za kuendelea kuwepo bungeni, wengi kama sio wote wameshakata tamaa ya kutoweza kurejea tena bungeni. Wachache wao wameshaanza kuaga na wengine bado...
  20. ngara23

    Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

    Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni...
Back
Top Bottom