kura za urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    SI KWELI Sugu awaomba CHADEMA kuiunga mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais

    Wakuu Ni kweli Sugu amesema CHADEMA iwaunge mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais au ni uzushi? mwenye ukweli wa wa hizi taarifa naomba msaada.
  2. Sky Eclat

    Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha. Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
  3. Mganguzi

    GE2025 CHADEMA imuunge mkono Mpina hata kama ACT sio rafiki, CHADEMA isimamishe wagombea ubunge kupitia ACT na kura za urais ziende kwa Mpina

    Kutoshiriki kabisa uchaguzi wa mwaka huu kutakuwa ni hasara kubwa sana kwa Chadema na kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mawazo yangu yanaweza kuonekana hayana uzito wowote, lakini kuiacha CCM ichezee uwanja peke yake itakavyo ni hasara kubwa mno. John Heche, naomba ufikirie nje ya mipaka ya...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Maria Sarungi adai kuna mpango wa siri wa kuipa CHAUMMA asilimia 7 ya kura za Urais na viti maalum 20 ili wapate ruzuku

    Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi ya wanasiasa maarufu G-55, unaolenga kukipa chama cha CHAUMMA upendeleo maalum kuelekea uchaguzi mkuu...
  5. chiembe

    Tathmini zinasema Lissu ana nguvu nje ya chama kwa wapiga kura za Urais wa nchi, kwa nini aliamua kugombea ndani ya chama ambako ni dhaifu?

    Kwa maoni yangu, Lissu angejikita katika kujiimarisha katika kugombea nafasi ya urais (japo asingeshinda). Hata watu wake wa karibu wanasema Lissu ana nguvu sana nje ya chama kwa wananchi wa kawaida ambao wanapiga kura za urais. Kwa nini aliamua kujidhoofisha kwa kugombea Uenyekiti wa chama...
  6. USSR

    Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  7. JanguKamaJangu

    Tujikumbushe kura za Urais Tanzania kuanzia mwaka 1995-2020, upinzani na chama tawala

    Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano. Tujikumbushe hali ilivyokuwa kwa chama kilichoshinda dhidi ya kura za jumla za wapinzani katika kiwango cha wastani...
  8. Roving Journalist

    Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Matokeo rasmi ya kura za Urais Kenya 2022

    William Ruto (UDA) 50.49% 7,176,121 Votes Raila Odinga (AZIMIO) 48.85% 6,942,930 Votes George Wajackoyah (RPK) 0.44% 61,969 Votes David Waihiga (AGANO) 0.23% 31,987 Votes ============== Wakati Wakenya wakisubiri majibu ya Uchaguzi wa Urais, upande wa timu ya Raila Odinga wamedai kuwa...
  9. JanguKamaJangu

    Kenya2022 Sababu ya majibu ya kura za Urais kutofautiana ni kwa kuwa matokeo yote siyo rasmi

    Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao yatatangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika...
  10. JanguKamaJangu

    Uchaguzi Ufaransa: Rais Emmanuel Macron amshinda Mpinzani wake, Marine Le Pen

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa...
  11. J

    Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

    Takwimu huwa hazidanganyi. CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar. Katika mazingira kama haya...
Back
Top Bottom