kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miradi magerezani kulipa wafungwa kupunguza uhalifu nchini

    Asilimia kubwa ya wafungwa wanaomaliza vifungo vyao hasa wafungwa wa vifungo vya zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakipata changamoto kuyaanza tena maisha ya uraiani kutokana na kukosa ajira na pesa kama mitaji yakuanzisha biashara na kuendesha shughuli zao na kupelekea wengi wao kujiingiza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  4. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Marekani yataka kupunguza utegemezi wa vifaa vyake vya kijeshi kutoka China

    China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi. China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na Military supply-chain management. Critical technology: technology ambayo inawawezesha kutengeneza...
  5. JamiiForums Tanzania Ni njia zipi unaweza tumia kuepuka, kupunguza na kuondoa kabisa msongo wa mawazo 'stress'

    Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine. Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Omary Ubuguyu: Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili

    Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
  7. JamiiForums Tanzania RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kupunguza ajali kwenye barabara zetu

    Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu. Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini watumiaji wengi hasa wa madereva wa magari hawazingatii alama hizo. Kwa mfano ajali nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kijinga ya kupunguza mkopo(Ada) na kuongeza boom

    Hivi professor Adolf mkenda na wizara yako ya elimu mmeona waTanzania ni wajinga sana? Do you really think we are going to buy that childish trick of yours'? Hivi mpaka lini mtaendelea kunyanyasa watoto maskini wa kiTanzania ndani ya nchi yao iliyojaa utajiri kupindukia? Professor on which...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye yafuatayo kupunguza kodi umiza kwa wananchi

    VYANZO VIPYA VYA MAPATO Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

    Salaam, Shalom, Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana. Kiwanda Cha kuuza maji Cha Kilimanjaro Kwa Mfano, TRA wakiweka mfumo wa kujua Lita kiasi Gani zinazalishwa Kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE Aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo ya Mara kwa Mara "Jumapili ya tarehe 26 Mei, 2024 nilikuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Weruweru na wananchi wakaniambia Mhe. Mbunge kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  16. JamiiForums Tanzania Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake...
  17. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya Fedha kwa Raia ni Muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. Tuanze na watoto sasa

    TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili. Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Miradi Imara Kukabiliana na Majanga ya Asili: Mikakati ya Wakandarasi Kupunguza Gharama za Serikali

    Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Vilio na kusaga meno kwa mawakala kupigwa vimezidi, Hapa nimeorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kupunguza utapeli

    Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…