Lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta kama nta yanayopatikana kwenye damu na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida, lehemu ni muhimu sana kwa:
Kuta za seli,
Homoni za mfumo wa uzazi,
Mishipa ya fahamu,
Na hata kutengeneza baadhi ya vitamin.
Ukiangalia nyama ya ng’ombe, yale mafuta...