kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kundi la Kigaidi la IRGC laanza kupoteza nguvu na ushawishi.

    https://www.instagram.com/p/DWBl55OjFgp/?igsh=aXUxcTRuMHFkZDdj
  2. R

    Takribani watu 1,300 wameuawa na Mamilioni kupoteza makazi Iran

    Shirika la la habari la Kimataifa Al Jazeera imetoa ripoti inayoonyesha kiasi gani Iran imeathirika katika mashambulizi yanayoendelea dhidi yake katika mashambulizi yaliyoanzishwa na Israel pamoja na mshirika wake Marekanin yaliyoanza February 28, 2026 na mpaka sasa yanaendelea Ripoti hiyo...
  3. Yoda

    Mfumo wetu wa utawala wa sasa hatuhitaji kupoteza pesa kulipa wabunge, tuige NPC China

    Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru. Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
  4. secretarybird

    Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

    Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi. Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani. Naishia hapa Kwa sasa.
  5. D

    Ubakaji, Kutesa, Kuua, Kupoteza? Makosa ya Samia ni makubwa mno machawa zidisheni maombi. Hapa haponi mtu

    Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi.. Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu. Lakini Unateka...
  6. stakehigh

    SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  7. Keynez

    Kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027

    Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027. Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi...
  8. M

    Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  9. M

    Maandamano ya kesho yatakuwa mazuri zaidi maana wasiokuwa na ajira hawana cha kupoteza

    Kesho ndiyo kutakuwa na mtiti wa ukweli maana wale wote wanaozarauliwa na serikali ndiyo watakaokuwa barabarani halafu hawana cha kupoteza ngoja tuone
  10. G

    PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  11. Pakome

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha Napenda vijana waishi na sio wafe Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
  12. ERTUGRUL BEY

    Hakuna Haja Ya Kuandamana Na Kupoteza Uhai,Damu Iliyomwagika Awali Inatosha

    My people, Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo jeshi au majeshi ya Ulinzi na Usalama yakiwa pamoja na wananchi na kujitenga na Dola,hapo ndio mtegemee...
  13. DuaZaMama

    PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

    "Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
  14. Kizibo

    Mbona kama Gen Z tushaanza kupoteza focus kuhusu 9D

    Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D. Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake. Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
  15. Mlalamikaji daily

    PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

    Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza.. Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali 10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio...
  16. ngara23

    Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  17. MamaSamia2025

    Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
  18. funaku

    Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

    Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
  19. A

    CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  20. Genius Man

    Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa

    Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa Mnajua ndugu yenu yupo wapi hivi sasa hatuwezi kufanya amani kwenye mazingira kama haya tupaze sauti tumuokoe ndugu yetu. lazima tuzuuie huu uchaguzi ila mambo haya yaishe
Back
Top Bottom