kupora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  2. GE2025 Kiongozi Asiyekemea Utekaji na Kupora Demokrasia ni Shetani wa Dunia

    Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
  3. A

    Nilivyonusurika kuuawa baada ya kwenda kupora ardhi ya maskini huko Katavi

    Nimeangalia document zangu hapa nilizofoji majina ya watu ili nimililoshwe ardhi ikanikumbusha hii kitu. Tukio hili ni la kweli na lilinitokea mwenyewe miaka ya 2006. Nikiwa kijana mdogo na Nikiwa nimemaliza chuo kikuu mwaka 2006, nikaajiliwa serikalini nikiwa zonal ya ofisi yetu pale Mbeya...
  4. MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi) MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA: CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
  5. Amshambulia ofisa wa polisi ubalozi wa marekani na kutaka kupora silaha

    Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini alishindwa na wakamdhibiti bila madhara yoyote makubwa kuripotiwa. == Tarehe: 15 Mei, 2025 Mahali...
  6. Dar: David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela huko Mabwepande

    ALIYEKUWA Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela. Jairo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa rais Kikwete anadaiwa kujimilikisha ardhi kiwanja Namba 1 mpaka 30 kitalu R, ndani ya shamba No.3650...
  7. RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  8. Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  9. G

    Trump ni noma ep 1, aliwachimba mkwara Taliban hakuna Mmarekani aliguswa kwa miezi 18, Biden alipoingia waliua, kupora silaha na kupindua serikali

    Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki. Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
  10. X

    Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo. Ajenda kuu ilikuwa China. Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China: 1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
  11. S

    Jerry Slaa: Nilishirikiana na Msama kupora eneo la shule ili amilikishwe mjane wa kigogo

    Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo. Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa kumsaidia mjane wa kigogo mmoja kulinunua eneo la shule ya sekondari. Slaa aliitenda jinai hii...
  12. Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!. Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
  13. Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Mytake: Wapestina ni wahuni tu kama Wahuni wengine 🤔 ..... https://m.jpost.com/breaking-news/article-770670
  14. B

    TBT: Mwaka 2014 TEC na Jukwaa la Kikristo Tanzania liloagiza kusitishwa Bunge la Katiba baada ya ccm kupora mchakato mzima.

    Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi. Rais Kikwete akatumia busaea za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa...
  15. S

    Sakata la Mpina kupora mashamba limeishia wapi?

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Sanga aliitisha mkutano na kutangaza kuunda tume ndani ya siku 14 kuchunguza madai ya Mpina kupora mashamba ya wananchi Morogoro. Swali langu ni moja tu siku 14 hazijafika? kwanini matokeo ya tume ya DC Morogoro hajaweka hadharani matokeo ya tume yake.
  16. M

    Msichana anayepora kwa kutumia dawa

    Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka. Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana...
  17. Nimekuwa addicted na tabia ya kupora wapenzi wa watu sehemu za starehe

    Wasalaam, Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa na hao wapenzi wao ili kuondoa utumwa. Huwa natoa maagizo tu kuwa ukishavuruga utanikuta sehemu...
  18. Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
  19. Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  20. Kesi ya Makonda, Le Mutuz kupora Range Rover yapigwa kalenda

    Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022. Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…