kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Udaktari Bingwa Bugando wanaosomea Mifupa walalamikia kufelishwa makusudi, waomba mamlaka kuingilia kati

    Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii. Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa...
  2. JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kisa cha huzuni kuu by Sugu: Walimpiga Risasi Mama na mtoto mgongoni kupitia kifuani mwa mama ikatokezea mgongoni na kumuua mtoto na mama

    Simulizi ya Sugu toka kwa mkazi wa Géita alivyouawa mama na mtoto wake. Very sad story from Sugu! Akamalizia na MATAKO YENU
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kurejelea Biblia na Quran Tukufu, inawezekana kwa shetani kupitia uganga na uchawi kumpa mtu ugonjwa na akaugua hata kufa?

    Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu. Katika vitabu...
  5. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  6. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo

    Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
  7. JamiiForums Tanzania TRA INNOVATION PORTAL INAGOMA KUJISAJILI KuPITIA TIN NUMBER.

    TRA tunaomba warekebishe Changamoto iliyopo kwenye Innovation portal Yao kwani imekuwa ikisumbua kuingia ni muda Sasa. Kama kweli wanahitaji mawazo Bunifu inabidi wawe na njia hata tatu za kupokea maoni iwapo Moja itakuwa inasumbua. Nina Imani ni wasikivu na watafafanya. Sehemu kubwa inayosumbua...
  8. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Kuwa Karibu na Wananchi Kupitia Majibu ya Moja kwa Moja

    Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho la haraka, wanahitaji kuona tu kwamba rais ameona tatizo lao na amelizungumzia kwa uwazi na kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tuombe kazi kupata inawezekana ata kama competition ni kubwa hasa kupitia ajira portal

    Kwa Msaada wa ajira portal na mifumo mingine.* Kama umesahau password, umesahau email,nk natoa msaada binafsi tuwasiliane kwa 0792715343
  13. JamiiForums Tanzania Tupe mwanao tumtengenezee kesho iliyobora kupitia Elite Home Tuition

    📚 Elimu Bora Kwa Wote – Tanzania Nzima 🇹🇿 Je, unahitaji mwalimu wa kuja nyumbani kwako kwa muda unaoutaka? Sasa usihangaike tena! ELITE HOME TUITION tupo kwa ajili yako. ✅ Tunatoa huduma ya kufundisha nyumbani (Home Tuition) ✅ Mwalimu anakuja muda unaotaka wewe ✅ Tunafundisha Tanzania nzima ✅...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

    Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo. Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani. Lakini kupitia kifo cha Temba...
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Lissu haraka, sio ombi ni sauti ya Mungu alie juu kupitia kwangu

    Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo Rejea mada tajwa hapo juu Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi. Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu. Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kemeeni tabia za wafuasi wenu za kutukana viongozi wetu kupitia namba za simu

    Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja. Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Samia na CCM yake ni Vita ya 'Mamlaka', Kwa Watanzania kupitia CHADEMA ni Vita ya ku 'survive', CDM ya sasa si Chama tu, ni Imani

    Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA. Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA. Je, ni nani wa...
  18. JamiiForums Tanzania UDOM yashinda Tuzo ya Filamu Beijing kupitia Mhadhiri wake

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatoa pongezi za dhati kwa Bw. Suleiman Risasi, Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi za Jamii (CHSS), Idara ya Sanaa na Taaluma za Habari (AMS), kwa kufanikisha ushindi wa tuzo ya Makala Fupi Bora (Best Short Documentary) kupitia kazi yake “The Spirit of the...
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu nitakazotumia kuzalisha megawatts laki 2 kwa kupitia gesi asilia nikiwa Rais wa Tanzania

    Mchakato ni kama ufuatao;- Gas turbine kubwa ya kuzalisha megawatts 100 ni usd million 20 sawa na kama tsh Trillion 40+ kama Mfano wa gas turbine zinazozalisha megawatts 100+ General Electric (GE) LMS100: A highly efficient aeroderivative gas turbine that produces approximately 100–116 MW...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…