kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  2. T

    Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  3. L

    Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  4. Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

    My Take Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho. Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
  5. Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  6. Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  7. H

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz. #WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
  8. Siri zenu tunazo kupitia Elimu kubwa CCM mambo yenu ya Gizani mnayo yafanya kuwadhulu watanganyika tunayo na yote yatawageukia ninyi

    Kujua siri za mtu yeyote. Kujua siri za herufi. Kujua siri za maneno. Kujua shughuli za siri. Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda. Kujua siri za... Kujua utajiri mtu alionao. Kujua siri ya sanaa zote. 12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M 12\2 SIMBASI, I...
  9. Simu niliyoagiza China kupitia AliExpress, naona imekwama kunifikia

    Habari ndugu zangu. Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana. Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”. Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio...
  10. Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa? Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
  11. AI na ushahidi wa picha

    Kupitia AI, Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu. Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia. Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
  12. Umepata mapesa mengi kupitia mama yako ila umekuwa wa kujificha sana mpaka kwenye mitandao

    Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
  13. S

    Ushahidi wa mauji uliopelekwa ICC ungekuwa haujitoshelezi, wangeendelea kupitia ushahidi mpaka leo? Ni wazi kuna jambo wameona

    Mimi naamini ushahidi waliupokea mpaka sasa uneonyesha kukidhi viwango wanavyovitaka na ndio maana wako kimya wakiendelee kuupitia zaidi huo ushahidi. Kwa maneno mengine, wangeshaukataa huo ushahidi na kutangaza watuhumiwa hawana kesi ya kujibu au wangetoa kauli kuwa ushahidi zaidi unahitajika...
  14. L

    Wataalamu wa Afrika wapata ujuzi wa utambuzi wa mpangilio wa vinasaba kupitia mafunzo yanayodhaminiwa na China

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
  15. Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  16. Usishau kupitia hapa utajifunza kitu

  17. PostGE2025 Kupitia taarifa hii iliyotolewa na Jeshi la Polisi, itoshekusema kuwa vijana wa Gen Z wanachokitafuta watakipata

    Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
  18. PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  19. H

    Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  20. Kupitia hii post ya Askofu Mwamakula huenda askofu ana kikundi cha utesaji

    Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu waliomkosea. Je, Askofu Mwamakula sio mhusika wa genge la WASIOJULIKANA? Kwa maelezo yake ni kwamba genge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…