kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuongeza Uhusiano na Kuchochea Maendeleo kupitia Mpango wa Msingi wa India-Bhutan

    Msingi wa India-Bhutan, taa ya ushirikiano kati ya nchi jirani za India na Bhutan, hivi karibuni umetangaza wito kwa mapendekezo kutoka kwa mashirika yanayotafuta msaada wa kifedha kwa miradi inayostawisha kubadilishana na kushirikiana kwa pande zote mbili. Hatua hii inawakilisha fursa muhimu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  3. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  4. JamiiForums Tanzania Ipigwe kura kupitia mfumo wa PEPMIS, watumishi wenyewe waseme kama wameuridhia mfumo wa kikokotoo

    Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo. Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita. Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea. Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakristo kuna la kujifunza kupitia ndoa hizi

    Hii kauli ya "Ndoa ni Mwili mmoja" Kuna la kujifunza Kupitia hii mifano. Hawa Ni waimbaji wa nyimbo za Injiri na walisema hayo Maneno. Ikumbukwe wazi kua ndoa Nyingi za kikristo zinashida kutokana na hiyo kauli. Mwanamke Ni kiumbe Mwenye roho ya tofauti Kuliko viumbe Vyote Duniani. Ndoa za...
  6. JamiiForums Tanzania MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani

    MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 07 Machi, 2024 amesaini MOU na Kampuni ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kupitia Mapambano ya Maisha kuna muda unasema vita nimevipiga ila ndio hivyo

    Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria. Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita. Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi. Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
  8. JamiiForums Tanzania Denmark yatoa zaidi ya Tsh. Bilioni 103 zilizotumika kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Afya kupitia Mfuko wa Afya

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Ninawashukuru sana makada na viongozi wa CHADEMA kwa free publicity wanayoipa CCM kupitia majukwaa yao mitandaoni

    Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni. Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha barabara cha Boko Bulumawe kimetelekezwa wananchi tunapata shida kupitia

    Wananchi wa Mtaa wa Bulumawe kata ya Bunju tunakutana na adha kubwa ya kupita katika barabara baada ya barabara hiyo kuanza kutengenezwa, lakini wameichimba tu na hakuna kinachoendelea hadi sasa zimepita week 3. Barabara hiyo imekuwa ni changamoto kupitika kwa usafiri wa aina yeyote na hata kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena. Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
  13. JamiiForums Tanzania Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

    Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani. Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Bunge iongeze adhabu kwa walimu wanaobaka na kulawiti!

    Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani! Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili! Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

    Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
  16. JamiiForums Tanzania Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Salaam, Shalom! Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!! Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Naendelea kusisitiza, kuna vitu vingi sana vya kujifunza kupitia filamu (movies)

    Hizi muvi unazoaziangalia ndio zimekupa picha kwamba CIA ni lidude likubwa sana. Hizi muvi ndizo zinakupa maarifa kuona kila kitu kinawezekana. Kupitia muvi, wanaeneza uchoko, na kwa bahati mbaya watoto wako wakiziangalia, baadaye wanakuwa machoko. Kila propaganda duniani, huanzia kwenye muvi...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…