kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

    Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  3. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali Yavuna Trilioni 1.8 Kupitia Sekta ya Uziduaji Nchini

    SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI - Ni kwenye madini, mafuta na gesi - Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 - ⁠ Kamati ya Bunge yapongeza uwazi wa serikali kutoa taarifa SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa kilombero kunufaika na ubunifu kupitia maonesho ya teknolojia wilayani humo

    Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume halisi sharti asulubike: Mwanaume hujifunza na kuimarika kupitia magumu ila Wanawake ni kinyume chake

    Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini kama una nia thabiti ya kumsaidia kuwa bora. Ikumbukwe Mwanaume hujifunza zaidi kupitia ugumu na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  10. JamiiForums Tanzania Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

    Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato. Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao. Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi shinda kupitia betting au ni hasara gani umewahi ingia kupitia beeting?
  11. JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine kupitia ESS naomba msaada wenu

    Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje.. Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia. Hapa panakuwaje wakuu..?
  12. JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kupitia picha hii?

    Asee 🤔 Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo.
  13. JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yaunda Tume ya kupitia upya Mikataba ya Mafuta na Gesi

    Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa. Timu ya Wajumbe inaundwa na Wataalamu wa Masuala ya Kodi, Sheria na Nishati ambapo jukumu lingine walilopewa ni kuhakiki...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

    uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami, Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hili la Polisi kupitia hotuba za wanasiasa kabla ya kuwahutubia wananchi ni udikteta au kulinda 4R?

    Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
  17. JamiiForums Tanzania Kupakua Move na Content mbalimbali kupitia TELEGRAM

    Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App. Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi. Na wasilisha Kwa hatua.
  18. JamiiForums Tanzania Sikumwamini kabla na kwa mechi mbili tu kupitia wachezaji wote waliokuwepo kabla nasibitisha Fadlu David anaua uwezo wa wachezaji Simba

    Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana. imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo. Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kuhusu Kutokufundishwa kwa Wakati Kupitia Zoom Lectures - Open University Tanzania

    Habari wadau, Ninaomba kutoa lalamiko langu kuhusu huduma za masomo kupitia Zoom lectures zinazotolewa na Open University Tanzania kwa wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza (bachelor of Laws) na wengine. Tatizo kubwa ni kutokufundishwa kwa wakati kupitia Zoom lectures. Mara ya mwisho...
  20. JamiiForums Tanzania Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…