kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa tajiri kwa njia ya nuru kupitia malaika wako

    Njia ya kuwa tajiri kwa kutumia Nuru (mwanga wa kiroho) na msaada wa malaika wa mwanga (divine angels) inahusisha kujenga muunganiko wa kina wa kiroho, nidhamu ya kiroho, na mazoea ya kiimani ambayo huamsha nguvu za mbinguni ndani yako na kuvuta baraka za kiroho na kifedha. Hapa chini ni...
  2. JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

    Dah kweli papuchi inalipa Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn. Inasemekana kwa seconde marekani huingiza 3075. 24 million kwa watazamaji wanaoangalia video online ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Iran, ametangaza: Hakuna tena mazungumzo ya amani na Marekani au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu

    Wanaukumbi. 🚨🇮🇷 MAKOMBORA YANAPOSONGA 🚨 Picha zinazosambaa sasa zinaonyesha Iran ikituma makombora makubwa ya balestiki chini ya usindikizaji mzito. Tehran ametangaza: "Hakuna tena mazungumzo ya amani na Merika au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu." 📢 NI ISHARA GANI HII: ⚠️...
  5. JamiiForums Tanzania Ayatollah kwa kuhofia maisha yake, anaongea sasa kwa kupitia msaidizi

    Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira. Hezbollah supporters organize a demonstration in support of Iran as it continues its mutual attacks with Israel, in...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia posts zao ninalipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata WACHOKONOZI

    Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani...
  7. JamiiForums Tanzania Timiza ndoto zako za Ujasiriamali,kwa kupitia uzi huu

    Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku #KilimoChaVitunguu #KilimoChaNyanya #KilimoChaTangawizi #KilimoChaTikiti #IceCream #Bites #Mapishi nk...
  8. JamiiForums Tanzania Kupitia mtandao X iran imejibiwa na watumiaji wa naijeria

    Ndio maana kwa nchi yetu wanaogopa sana serikali.
  9. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Misri wamewafanyia vurugu na kuwaondosha waandamanaji wa kimataifa waliotaka kupitia nchini kwao kuelekea Gaza.

    🤣🤣 Wamisri wameona hawataki kuingizwa katika utapeli wa kipalestina. Wana maana yao kwa nini wameweka uzio mkubwa katika ya gaza na misri.
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  12. JamiiForums Tanzania Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  13. JamiiForums Tanzania Utapeli mitandaoni kupitia phishing link

    Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda. Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini pamoja na hayo, kuna watu wanaotumia mtandao kwa ajili ya udanganyifu. Moja ya njia wanazotumia sana ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

    Wapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…