kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, vituo hivi vya daladala vya Buzastendi–Kawe na Buzastendi–Makumbusho kupitia Keko/Buguruni ni sahihi?

    Habari za kazi Wakuu, ninaandaa orodha ya njia na vituo vya daladala Dar es Salaam, na ningependa kupata msaada kutoka kwa wanaozifahamu hizi route. Nimekusanya taarifa za njia hizi: Buzastendi → Kawe kupitia Keko Buzastendi → Kawe kupitia Buguruni Buzastendi → Makumbusho kupitia Keko...
  2. JamiiForums Tanzania Tengeneza sabuni kupitia video hii

    Angalia hii tutorial kisha fanya majaribio. Usisahau kushare nasi matokeo hapa.
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 7 niliyojifunza kupitia maandamano ya 29 Oktoba 2025

    MAMBO 7 NILIYOJIFUNZA KUPITIA MAANDAMANO YA 29 OKTOBA 2025 Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. HASIRA ZA WANANCHI PEKEE HAZITOSHI KUANGUSHA SERIKALI. Maandamano yanaweza kuonyesha ukubwa wa hasira na kutoridhika kwa wananchi, lakini hilo pekee halimaanishi serikali itaondoka madarakani...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  5. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa na ongezeko la mamilionea kupitia kilimo

    Wakulima wa vitunguu, mpunga, mahindi na mazao mengine kwa sasa wanazidi kuchanja mbuga kwenye mbio za utajiri. Ndani ya miaka mitatu kilimo kimezalisha mamilionea wengi. Siku hizi ni kawaida ukapita sehemu ukakuta Petrol station au hotel ya kitalii ukaambiwa ni ya mkulima fulani. Kwa miaka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo Malipo Tiketi SGR Kupitia M-Pesa

    Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa. Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini malipo hayakuwasilishwa kwa SGR. Tulipowasiliana na SGR, walituambia control number zilikuwa bado...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ccm kutumia makapuku wa chaumma kumtukana heche kupitia dalali na shehe fake mwaipopo inamaanisha nini?

    Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya; 1. Je...
  8. JamiiForums Tanzania Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

    Navaa jezi ya Diadora yenye jina tena la Jay Ruty. Je, Diadora tunamtangaza kwa bei gani na Jay Ruty kwa bei gani kupitia Simba sc?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (Joint Permanent Commission – JPC) kati...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Media za Bongo zinatoa sana airtime kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii kuliko yale ya msingi? Nimeamini kupitia sakata la Doto Magari

    Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yapunguza muda wa kupata Police Clearance hadi saa 24 kupitia mfumo mpya wa MBIS

    Serikali kupitia Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha mfumo mpya wa Multi-Biometric Identification System (MBIS) ambao sasa unaruhusu waombaji kupata Cheti cha Police Clearance (Certificate of Good Conduct) ndani ya saa 24, badala ya kusubiri hadi wiki mbili kama ilivyokuwa awali. Mfumo...
  12. JamiiForums Tanzania Upigaji kupitia semina za kutoa mafunzo kazini, Chanzo cha elimu duni.

    Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu. Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo Semina hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Pata nafasi za kazi Tanzania na Nje ya nchi kupitia ChuoSmart

    Unatafuta ajira ya kudumu, kazi za mtandaoni (Remote Jobs), internship, part-time, freelance au nafasi za kujitolea? ChuoSmart Jobs ni jukwaa linalokuwezesha kupata nafasi mbalimbali za kazi kutoka Tanzania na nchi nyingine, huku likikurahisishia kutafuta kazi kulingana na taaluma, eneo na aina...
  14. JamiiForums Tanzania HOJA Serikali kupitia wizara ya elimu tunaomba mkatizame upya vigezo ya kusoma kozi za afya

    Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli? Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
  15. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ahsante mwenyekiti John Heche kuongea na watanzania kupitia diaspora

    Mheshimiwa ahsante kuongea na watanzania kupitia diaspora. Tunaomba uwe unafanya hivyo mara kwa mara. Lazima tuikomboe nchi yetu. Thumb up mheshimiwa
  17. JamiiForums Tanzania Balozi Omar Ahimiza Wenye Mahitaji Maalumu Kuchangamkia Zabuni za Serikali Kupitia NeST

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Tanzania aunganisha tamaduni kupitia lugha ya Kichina na opera ya jadi

    Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Microsoft Yazindua Kozi Kamili ya AI Bure Kupitia GitHub.

    Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza AI hatua kwa hatua. Kozi hiyo inajumuisha masomo ya msingi ya AI, machine learning, AI agents...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…