kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

    Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
  2. ngara23

    Nawapongeza mashehe na waislam (sio BAKWATA) Kwa kupinga upuuzi wa Ramadan Cup

    Mashehe wenye ilimu na Imani ya kweli wasio wanafiki walitoka hadharani kupinga upuuzi wa Ramadan Cup Mashehe hao waliona sio sawa matukio ya kiheshima kama mwezi mtukufu kuwa kama platform ya kisiasa, Haya ndo mambo sisi wakatoliki tunapenda na hakika msimamo huu wa mashehe unaenda kurudisha...
  3. E

    Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu Muungano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii. Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
  4. JanguKamaJangu

    Walioishtaki CHADEMA waweka pingamizi kupinga ombi la Lissu kuingizwa kwenye kesi

    Said Issa Mohamed aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, pamoja na wenzake wawili, wamewasilisha mapingamizi wakipinga ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu la kuingizwa kama mdaiwa katika kesi ya mgawanyo wa mali waliyoifungua katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar...
  5. W

    Mchina amshtaki DPP kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  6. W

    Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
  7. M

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  8. Genius Man

    Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  9. Genius Man

    Bongo zozo: Napinga utekaji hadi nitekwe mimi halafu nitaendelea kupinga!

    Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi. "Sikukuu tukumbuke waliopotezwa. Tukae tufikiria inakuwaje watu walivyokosa ndugu zao kwenye pilau ya sikukuu. Bila kujua hali zao. MATESO HAYO. NAPINGA UTEKAJI...
  10. Fbn

    Simbachawene unaposema mfano Sudan, hujasema sababu unakimbilia kupinga maandamano

    Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo: • Uchaguzi feki, • Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki. Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
  11. Samia atosha tukutane2030

    PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  12. adriz

    Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  13. Genius Man

    Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  14. Fbn

    Nilikuwa naona china ila kwa serilikari inwaweza kuwa watumizi wakubwa sijajua jina lake ila mikusanyiko ya siku kuwa wanakubari serikali sio kupinga.

    Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
  15. M

    Day 3: Wananchi Bunda wameandamana kupinga utekaji, kudai tume huru n.k

    Huko Bunda? Mkoani Mara; wananchi hawakuwa nyuma.
  16. M

    Day 3: Wananchi Mafinga (Iringa) waandamana kupinga kinachoendelea nchini

    Hali iko hivi huko Mafinga. Wananchi wamejitokeza kushiriki maandamano
  17. R

    Maelfu waandamana Ubelgiji kupinga Mageuzi ya Serikali ya kubanwa kwa Matumizi

    Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Huwezi kumuabudu Mungu wa kweli halafu ukaogopa kutetea haki au kupinga waovu. Utakuwa humjui Mungu

    HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki. 2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
  19. Zacht

    Watu zaidi ya Milion mbili walijitokeza kwenye maandamano ya kupinga vita vya Israeli.

    Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia Gaza bila vizuizi.  ******* Hauitaji kuwa na upande kwenye kukemea maovu moyo wa utu haujafungwa...
  20. H

    Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
Back
Top Bottom