kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu. Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
  3. JamiiForums Tanzania Siku ccm walishindwa kusoma alama za nyakati na kupigwa chini.HAAMINI

    Bado hamshtuki kuwa @ChademaTZ2 ya sasa haina followers Bali diehards Bado mnaamini mbinu za kamata kamata bambikia kesi zitakuwa suluhisho ?
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

    ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ค๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini. Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  7. M

    JamiiForums Tanzania THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  10. JamiiForums Tanzania Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura ya Awali kupigwa Oktoba 28, 2025 Zanzibar

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani. Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa ZEC Jaji George J. Kazi amesema kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 34(3) na (4)...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  14. JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga kuweni na adabu si kila kocha mnapalamia mtakuja kupigwa makofi

    Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya machawa kupigwa chini kwenye mchakato, CCM waja na mkakati wa kuwapitisha tena ndiyo maana wakataka majina mengi yaende juu

    Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inawezaje kupigwa kopi?

    Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali. Hivi Serikali inawezekanaje ikapigwa kopi?
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ