Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo.
Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo...
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi...
Wanaukumbi.
Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz
Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa.
Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea...
Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo.
Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni.
Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo.
Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9.
Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
Happy Wednesday Guys,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose)
Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
1: RAIS
2: WAZIRI MKUU
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO
4: SPEAKER WA BUNGE
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
6: MKUU WA T.I.S.S
7: IGP
8: WAZIRI WA FEDHA
9: MSHAURI WA RAIS
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo...
Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...!
Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe mikoani.
Kazi kwelikweli, watu wamekimbia hadi na akaunti za mitandao za chama watakupeni nyie...
Habari za Sabato!
Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno.
Yanavua heshima.
Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale.
Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza.
Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia Red Sea Al Houthi wakagoma. Trump analia eti Egypt wamsaidie kipesa walipe gharama au wasaidie...
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !
Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe...
Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo.
Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki.
Dullah Mbabe ni kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.