kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  2. JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  7. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Haki za Binadamu haziruhusu kuzuia wengine kwenda Kupiga Kura, atakayefanya hivyo Sheria inaruhusu ashughulikiwe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa. Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muda mzuri wa Polisi kupiga hela; Tafteni chambo hata Copro atoe tamko la kuunga mkono maandamano ili wakuu waje mezani watoe mpunga

    Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe) Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau! Wote hawawezi...
  10. JamiiForums Tanzania Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  11. JamiiForums Tanzania Kuandamana kwa kukataa kupiga kura

    Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ?? Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini? Kwanini wapewe wakati huu wakufanya uchaguzi? Njia nzuri na ya amani nikutokwenda kuwachagua ili...
  12. JamiiForums Tanzania Hospitali za India zimebaki kupiga hela, matibabu yapo Ujerumani

    Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 DC Haniu: Wananchi jitokezeni kupiga kura Oktoba 29, msikubali wasio na nia njema na Nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025. Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitasamehewa na Historia? Sitoshiriki Kupiga Kura Uchaguzi wa Mwaka Huu 2025

    Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia: Wasiwatishe kwenda Kupiga Kura ,Tumejipanga Kuwalinda

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ametoa kauli nzito na yenye kuleta furaha na tabasamu kwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania KERO Jumbe nyingi za “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025” kila siku!

    Habari za asubuhi ndugu zangu! Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu: ‎ ‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.” ‎ ‎Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 ) AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 ) Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 ) Windows 11 -...
  18. JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usahili wa Wasimamizi,makarani wa vituo vya kupiga kura 2025

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, watanzania wale wanojiandaa kupiga kura ni wale ambao hawana cha kupoteza? Na ni kwanini wafanye hivyo?

    Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania. Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaweza kupiga story?

    Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey! Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar.....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…