kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    LGE2024 CCM kuhitimisha Kampeni Kwa Kishindoo.Yatawanya Makada Wa Kamati Kuu Nchi Nzima kufunga Kampeni hapo Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia chama kiongozi basi hii ndio Maana yake.Ambapo CCM imeonyesha ukubwa wake , umadhubuti wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwafikia wananchi.kwa hakika siasa ni sayansi na CCM imethibitisha wazi kuwa ni bingwa wa sayansi ya siasa katika Nchi hii,kikanda na...
  2. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Doto Biteko ahimiza Watanzania kupiga Kura Novemba 27, 2024 asema ni Haki ya Kikatiba

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
  3. Just Pray

    LGE2024 Askofu Tanga: Siku kabla ya kupiga kura msisahau kuombea Uchaguzi wa mwaka huu kwani ni maandalizi ya uchaguzi wa mwakani

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa watanzania kuchagua viongozi wakufaa bila kujali itikadi za vyama vya siasa. Askofu Mkuu Maimbo...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Ruvuma: Kapinga ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27 kupiga Kura

    Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
  5. Don Gorgon

    LGE2024 Mimi ni mpiga kura huru. Sina chama; nasubiri kuridhishwa na sera za wagombea wa mtaa wangu

    Mimi ni mpiga kura huru. Kama wewe una chama sikudharau wala kukuona huna maana. Kila mtu na kile anachokiamini. Usinidharau pia. Ni dunia huru hii na kila mmoja anapaswa kufanya anachojisikia. Niliwahi kushawishiwa kujiunga na vyama fulani ila sikutaka ndoa ya hivyo. Sikutaka ndoa ambayo...
  6. Mindyou

    LGE2024 Dotto Biteko: Jitokezeni kupiga kura ili "kumlipa" Samia kwa upendo kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo

    Wakuu, Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais? Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
  7. E

    CHADEMA mkitaka muone vituko ombeni wahudhurie mikutano yenu walijiandikisha tu kupiga kura

    Hizi jaza jaza hao watu huwa hawapigi kura , hata mimi kesho ntakuwepo mkutanoni ila sijawahi piga kura Serikali za mitaa uchaguzi mkuu ni mara moja tu
  8. Waufukweni

    LGE2024 Mwenezi Mvamba ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 . Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
  9. J

    Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  10. Inside10

    LGE2024 Askofu Bagonza: Nawaomba radhi niliowahamasisha ili waende wakajiandikishe kupiga kura

    Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook; Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu. Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Wananchi Dar: Kupiga kura ni njia ya kuchagua maendeleo yetu

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa kwenda kupiga kura ili kuwachagua Viongozi watakaowaletea maendeleo katika maeneo yao. Soma, Pia; +...
  12. T

    LGE2024 Vijana Jitokezeni kwa wingi kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024. Akizungumza katika Baraza hilo la kikanuni amewataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 27 Novemba 2024 kukipigia kura Chama Cha...
  13. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  14. K

    Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  15. K

    LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo. Moja ya eneo...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kupitia mahojiano aliyofanya na Tumaini TV amesema: "Uchaguzi wa serikali za mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya kidemokrasia, lakini zoezi hilo ni lazima litekelezwe kwa uadilifu, kwa uzalendo na kwa uaminifu, ni...
  17. J

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  18. G

    Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  19. Waufukweni

    Cristiano Ronaldo asusia kupiga Kura na kuhudhuria sherehe za Ballon d’Or

    Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo. Pia, Soma: Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
  20. ELI COHEN

    Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
Back
Top Bottom