kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.

    Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume. Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
  2. Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

    Wasalam wana Jamvi. Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
  3. Toyota cup, Kumbe Yanga inaweza kuvaa logo nyekundu bila kupata mikosi.

    Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
  4. D

    Msaada wa kupata vyeti vyangu hususan eneo la Tarime 2024

    Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha...
  5. Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

    Habari Wana Jf Natumai mko salama Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊 Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama...
  6. Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  7. W

    Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  8. Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
  9. Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  10. Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  11. Yanga kupata saini ya Aziz Ki, wamshukuru Mwanadada Hamisa Hassan Mobetto

    Kwa wasio fahamu Msukuma Hamisa Hassan Mobetto, alizaliwa alizaliwa Mwanza, Tanzania, Desemba 10, 1994. Ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo Kumbuka Hamisa ni rafiki Mkubwa wa Aziz Ki japo yanga wanadai ni shemeji yao, mimi sina hizo taarifa. Ninachojua Hamisa ndo alipiga...
  12. PreGE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

    Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza. Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
  13. PreGE2025 Tuwe wa wazi; Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kupata walau 20% ya kura zaidi ya CHADEMA

    Wakuu Habarini/salaam/Shalom Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya kufungiwa kwa harakati za kisiasa chini ya Hayati J.P. Magufuli, Madhara ndo yanaonekana leo🩴 Hali...
  14. KWELI Mtu anaweza kupata mzio kutokana na matumizi ya kondomu

    Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya Kondomu zinawafanya wapate upele pamoja na miwasho. Naomba kuuliza, Je ni kweli matumizi ya Kondomu...
  15. X

    China-US TechWar: Pentagon wakiri ni vigumu kuachana na huduma za Huawei kikamili

    Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu ilikuwa ni kwamba usalama wa taifa hilo ulikuwa hatarini, ikidai kuwa China inaitumia kampuni ya...
  16. Marekani yakwama kupata sampuli za Mwezi kutokana na Kifungu cha Wolf

    Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
  17. N

    Namna ya kukokotoa siku ya kupata ujauzito na mzunguko wa hedhi kwa urahisi | How to can you know your menstrual circle and a day to conceive?

    NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE? Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
  18. Kuna haja ya kuweka mchujo mkali kwenye chaguzi zetu ili kupata viongozi bora

    Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu. Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja...
  19. Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  20. T

    Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…