Wakuu nawasalimu.
Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.
Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia...
Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
Bei ya ng’ombe katika Soko la Pugu kwa wiki inayoishia Novemba 23, imepanda kwa asilimia 6.5 ikilinganishwa na wiki iliyopita, hali iliyosababisha nyama kuuzwa kwa bei ya juu.
Katika kipindi cha mapitio, bei ya ng’ombe wa daraja la kwanza ilipanda kutoka Tsh. milioni 1.9 wiki iliyopita hadi...
Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja.
Maswali ya kujiuliza;
~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
Soda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700.
Kwa hesabu za harakahara hapa kuna ongezeko la sh. 200 ambayo ni asilimia 40% ya sh. 500.
Ni kweli production costs zimeongezeka kwa 40% au ni mwanya tu wajanja wanautumia kutengeneza fedha watoto wao wapelekwe chekechea...
Fedha hizo ni hasara iliyotokana na kushuka kwa bei ya kilo ya Pamba kwenye soko dunia mwaka 2019 kisha Serikali ikatangaza bei ibaki Tsh. 1,200 kutoka Tsh. 900 na kwamba Serikali itafidia hasara yote.
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imesema Serikali iwajibike kulipa deni...
Bado hawajamaliza,
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua.
Hofu ya bei ya...
lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao.
Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅
NB; Ukipita...
Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa.
Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana.
Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia
Nyie watumishi mkoje lakini?
Mnataka nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.