kupambana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Ya Mwigulu Nchemba kupambana na Simba na chui na kuwashinda ilikuwa na umuhimu gani kuyasema? Hakuna anayetaka kumdhuru. Ni yeye tu!

    Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari kubwa ambao hataweza kutoka hapo. Mwigulu alitoa idadi kubwa ya gas station zilizoharibiwa kama 600...
  2. R

    Wito wa dharura kwa Serikali: Mbinu pekee ya kupambana na TFF kisayansi bila kumwaga damu!

    1. Mpeni maiki mzee Warioba aitishe mchakato wa Katiba Mpya kuanzia Sasa, Lissu na Polepole wateuliwe Moja Kwa Moja kuwa wabunge wa mchakato wa Katiba Mpya, watoke huko walipo Hadi Bungeni. Wawekwe safe house chini ya uangalizi wa Serikali kwa usalama wao, wanafamilia pekee waruhusiwe kuwaona...
  3. M

    Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo.

    Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote. Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae Gari kunywa sana mafuta Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili Gari...
  4. Hance Mtanashati

    Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  5. Damaso

    Je, tunawalea watoto wetu kwenye mazingira salama kupita kiasi mpaka miili yao imesahau namna ya kupambana?

    Katika miaka ya 2010 hadi sasa, hasa kufikia 2026, hali za kiafya kwa watoto wetu wa kizazi cha Gen Z na sasa Gen Alpha zimeibua mjadala mzito. Leo si ajabu kukutana na kijana wa miaka 17 mwenye kilo 80+, mtoto wa miaka 12 akisumbuliwa na pumu (asthma) kali ambayo wakati mwingine hupoteza mpaka...
  6. M

    Mahakama yapiga marufuku mashahidi fiche. Sasa Lissu kupambana nao uso kwa uso. Habari ya kujificha kwenye maboksi kama kuku kwisha

    Ni kinyume na katiba ya JMT shahidi fiche kufichwa kwenye boksi kama kuku.
  7. G

    Tunapoendelea kupambana na hii regime ya kihuni ya kuteka na kuua raia hutuwezi kumtoa MAGUFULI kwenye hili mazuri yake hayawezi kumuondoa kwenye hii

    Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
  8. DuaZaMama

    Sigrada Mligo: Inashangaza wanyonge hatuungani kupambana na wenye nguvu

    Akiwakilisha kundi la Wabunge walio wachache bungeni katika msiba wa Hayati Edwin Mtei, Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema busara na hekima za Mzee Mtei ni nguzo muhimu ambazo wanasiasa wanapaswa kujifunza. “Mimi binafsi huwa natamani nipate hata robo tu ya busara za...
  9. Ritz

    Inachekesha sana Trump kashindwa kupambana na waandamanaji wanaodai haki eti yupo na Wairan

    Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza. Trump anasema anawalinda waandamaji wa Iran😀 https://x.com/haiderali099/status/2011674805972701583?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  10. Megalodon

    Serikali chini ya Samia mnapoteza muda kupambana na TEC, hamtoweza

    Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!! Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa...
  11. Logikos

    Ni kweli kuna Wahuni, tatizo sidhani tunaotumia nguvu kupambana nao ndio Wahuni

    Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina mashiko, ukizingatia wahuni hao tunasema wengine wapo nje na wengine tayari wapo gerezani, lakini...
  12. October 2pm

    Wamemshindwa Gwajima wataka kupambana na Wakatoliki. Astaghafirullah

    Mwaicheza baikoko hiyo. Mweee! Walahi mwaingia maskani ya vita. Mwafikiri kubeba silaha ni kushinda hehee. Hamjui mtajuzwa. Kikundi ya Gwajima hakizidi watu elfu arobaini kimewatoa nishai. Mwathubutuje kuingia kwa Wakatoliki. Mwacheza Nye. Humohumo wamo. Hehee. Kati yenyu wamo. Mayii. Miye sijui...
  13. Msanii

    Haramu inapojiaminisha ni Halali, hakika vilio havitakoma

    Mkuu haramu wa serikali ameonesha NIA, DHAMIRA na SABABU za kuitumia serikali kupambana na raia. UWEZO anaoutumia ni kodi za hao hao anaopambana nao. Kibaya zaidi ni kwamba anasaidiwa na raia waliopikwa na kuhitimu nafasi ya UZOMBI yaani watu wanaopokea amri na kuzitekeleza bila second thoughts...
  14. R

    Askofu Bagonza: Taifa lililoungana linaweza kupambana na Mabeberu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
  15. Ojuolegbha

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro, Fahamouze Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila. Ziara...
  16. baz kaiza

    Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  17. Common Folk

    GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Ametoa agizo kupitia TBC, ITV. Video:
  18. Agent-47

    Kwa takwimu hizi, polisi wako upande wa hatari kupambana na vijana wa gen z

    Kuna report moja ilichapishwa na watu wa wizara ya afya kama 2 years ago. Wali report “health status” ya watu na katika sectors tofauti. Polepole aliirejea wakati anatoa takwimu zake za mambo ya afya wiki tatu zilizopita. Ukiisoma vizuri hile kitu unagundua kuwa polisi wengi wana ishu za...
  19. D

    Badala ya kutubu anaamua kupambana na Umma wa watu mil.70 atatoboa?

    SGR tayari imewaumbua huko; chuma imekula vumbi. Fedheha za wizi na ufisaidi zinazomhusisha bi mkubwa na familia yake hakika hazimithiliki; hata wao naamini wanajiuliza ilikuwaje tukajisahau tukaiba sana hivi?? Imekuwaje “tumekuwa na tamaa ya mali hadi tukaanza kutamani na kunyang’anya mali za...
  20. K

    Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
Back
Top Bottom