kupambana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Tunapoendelea kupambana na hii regime ya kihuni ya kuteka na kuua raia hutuwezi kumtoa MAGUFULI kwenye hili mazuri yake hayawezi kumuondoa kwenye hii

    Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Inashangaza wanyonge hatuungani kupambana na wenye nguvu

    Akiwakilisha kundi la Wabunge walio wachache bungeni katika msiba wa Hayati Edwin Mtei, Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema busara na hekima za Mzee Mtei ni nguzo muhimu ambazo wanasiasa wanapaswa kujifunza. “Mimi binafsi huwa natamani nipate hata robo tu ya busara za...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Inachekesha sana Trump kashindwa kupambana na waandamanaji wanaodai haki eti yupo na Wairan

    Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza. Trump anasema anawalinda waandamaji wa Iran😀 https://x.com/haiderali099/status/2011674805972701583?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  4. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Serikali chini ya Samia mnapoteza muda kupambana na TEC, hamtoweza

    Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!! Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna Wahuni, tatizo sidhani tunaotumia nguvu kupambana nao ndio Wahuni

    Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina mashiko, ukizingatia wahuni hao tunasema wengine wapo nje na wengine tayari wapo gerezani, lakini...
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Wamemshindwa Gwajima wataka kupambana na Wakatoliki. Astaghafirullah

    Mwaicheza baikoko hiyo. Mweee! Walahi mwaingia maskani ya vita. Mwafikiri kubeba silaha ni kushinda hehee. Hamjui mtajuzwa. Kikundi ya Gwajima hakizidi watu elfu arobaini kimewatoa nishai. Mwathubutuje kuingia kwa Wakatoliki. Mwacheza Nye. Humohumo wamo. Hehee. Kati yenyu wamo. Mayii. Miye sijui...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Haramu inapojiaminisha ni Halali, hakika vilio havitakoma

    Mkuu haramu wa serikali ameonesha NIA, DHAMIRA na SABABU za kuitumia serikali kupambana na raia. UWEZO anaoutumia ni kodi za hao hao anaopambana nao. Kibaya zaidi ni kwamba anasaidiwa na raia waliopikwa na kuhitimu nafasi ya UZOMBI yaani watu wanaopokea amri na kuzitekeleza bila second thoughts...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Taifa lililoungana linaweza kupambana na Mabeberu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro, Fahamouze Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila. Ziara...
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  11. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Ametoa agizo kupitia TBC, ITV. Video:
  12. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, polisi wako upande wa hatari kupambana na vijana wa gen z

    Kuna report moja ilichapishwa na watu wa wizara ya afya kama 2 years ago. Wali report “health status” ya watu na katika sectors tofauti. Polepole aliirejea wakati anatoa takwimu zake za mambo ya afya wiki tatu zilizopita. Ukiisoma vizuri hile kitu unagundua kuwa polisi wengi wana ishu za...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Badala ya kutubu anaamua kupambana na Umma wa watu mil.70 atatoboa?

    SGR tayari imewaumbua huko; chuma imekula vumbi. Fedheha za wizi na ufisaidi zinazomhusisha bi mkubwa na familia yake hakika hazimithiliki; hata wao naamini wanajiuliza ilikuwaje tukajisahau tukaiba sana hivi?? Imekuwaje “tumekuwa na tamaa ya mali hadi tukaanza kutamani na kunyang’anya mali za...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Albania yateua Waziri aliyetengenezwa Kwa AI kupambana na Ufisadi

    Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa misimbo na kuendeshwa na mfumo wa kisasa wa akili bandia. Jina lake ni Diella, linalomaanisha ‘mwanga wa jua’...
  16. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baada kushindwa kupambana na Hamas Israel inapambana na raia na watoto ililenga moja kwa moja waokoaji wa Kipalestina hospital Nasser. Khan Younis

    Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others ================ Israel ililenga moja kwa moja...
  18. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata kama kwa 75% sikubaliani nae ila kusema kuwa kupambana na akina Mwalimu na Mpina ni Kujishosha Hadhi hapa nasi tumeteleza

    Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi? Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni Wapumbavu.
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

    Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao. Yaani TAKUKURU imekufa na...
Back
Top Bottom