kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola mbioni kuongeza mkataba mpya Man City

    Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa City. Guardiola (53) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake wa sasa ambao...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza Saa 24 kwenye uokoaji Kariakoo

    Wakuu, Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee? Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie! ===== Maagizo ya Rais wa Jamhuri...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wapinga Pendekezo la kuongeza muda wa Urais hadi miaka 7

    Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024 Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  5. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Juhudi zifanyike wapenyezewe Al Hilal au CAF hii issue ya madawa (Sindano za kuongeza nguvu)

    Hapo vip!! Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani. Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nawiwa kuongeza mke wa pili

    Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri...
  10. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
  11. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  12. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA yawatoa hofu Wafanyabiashara kuhusu pesa zao Benki

    #Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda na Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba leo tarehe 17/10/2024 wamekutana na Watendaji Wakuu wa Mabenki na Taasisi za Fedha nchini kujadili suala la Hati ya Uwakala katika ulipaji kodi (Agency...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga Kura

    Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka...
  14. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TPA kuongeza ufanisi katika bandari zake

    Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la Afrika na kimataifa. Akizungumza wakati wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuongeza Tax base, Rais na Wabunge walipe Kodi

    Salaam, Shalom!! Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili. Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekuwa tukizipigia kelele Kila kukicha, Kwa kuwa kiongozi wetu amedhamiria kuongeza Tax base Ili wengi zaidi wapate hamasa ya kulipa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China inapanua uwekezaji Afrika huku Marekani ikiizuia kuongeza uwezo wake wa uzalishaji

    Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa inayosema kwamba uwekezaji wa China barani Afrika mwaka 2023 ulikuwa dola za kimarekani bilioni 3.96...
  18. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha

    Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu. Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kuongeza idadi ya wateja wa magimbi na viazi

    Wakuu, tupeane maujuzi ya kuongeza idadi ya wateja wa hizi bidhaa. Kuna siku namliza gunia la 25kg(magimbi) na siku nyingine znatoka fungu mbili tu daaah Hii ni kwangu tu au na nyie inawakumba/ga Biashara inatia stress!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

    Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Back
Top Bottom