kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    CHADEMA, kuongea na Mapambano huenda pamoja

    Ni jambo la kheri kuwa CHADEMA itakuwa na ugeni mkubwa kesho. Uthibitisho thabiti kuwa upinzani siyo jinai tena. Pongezi nyingi kwa Mama Samia Rais wetu kwa hili. Hivyo basi itumike fursa hii vizuri kuendelea kuyaweka wazi yaliyo vipaumbele zaidi kwa maslahi ya watu. Mfano: 1. Katiba Mpya 2...
  2. Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ameondolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) na kuhamishiwa wodi nyingine ya HDU baada ya afya...
  3. Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wako. Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii. Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm...
  4. Mada 4 muhimu za kuongea na mwanamke ili kujuana zaidi

    Hivi ni vitu vitakavyowafanya nyote muone mmepata muda mzuri na kujuana. Mada hizi zitakusaidia kuepuka mada ambazo zitapunguza kasi ya mwanamke kukupenda. Mfano, kumuambia kuwa unampenda mapema sana hata kabla hujamjua vizuri tabia yake na kuamua kama unaweza kuishi naye. Na kwa wale wanaojiona...
  5. Tusimlaumu Makamu, bali tuulaumu uongozi wa juu hata kama haturuhusiwi kuongea ukweli

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu. Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe kutoka kwa watu mbali mbali wakimlaumu makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu kwa kukimbia mapambano...
  6. Ukizingatia haya hautapata shida kuongea na mwanamke

    Usipate shida kuhusu uongee nini na mwanamke, sababu wanawake wanajali unavowafanya wajisikie ukiwa nao zaidi ya maneno unayoongea. Kadri unavyojiamini ndivyo mwanamke anakuamini pia. Hivyo cha muhimu kufanyia kazi ni kuboresha hali yako ya ujasiri wa kiume na kuzingatia haya wakati unaongea na...
  7. Unaishiwa Cha Kuongea Na Mazungumzo Yanakua Mafupi Ukiwa Na Mwanamke? Fuata Muongozo Huu...

    Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
  8. R

    Vyombo vyote vya habari vinatamani kuongea na Lissu; mbona tulimtuhumu kama msaliti?

    Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu. Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten...
  9. Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

    Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu...
  10. CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

    48 LAWS OF POWER. Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari. Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu. Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu. Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
  11. D

    Ni sababu ipi ilifanya Mungu akaacha kuongea na binadamu kwa ishara?

    Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi...
  12. B

    Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  13. Mbunge Musukuma alivyoswekwa lupango baada ya kuongea hadharani kuwa Hayati Magufuli anamiliki hoteli

    Pelekeni watoto shule. Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi. Education is better than money. I am sorry. Money is better than Education Watanzani tuna ujinga mmoja, kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi, na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo...
  14. Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

    Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
  15. Kwanini zamani wazazi walikuwa wakitukataza kuongea wakati wa kula?

    Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana. Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha. Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
  16. Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  17. Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  18. Mfumo wa kubaini madereva wanaochati, kuongea na simu waingia Dar

    Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
  19. Je, Mungu huwa anaongea na Wanadamu? Je, kwanini haongei na kila mtu?

    Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu. Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu? Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
  20. Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani? Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…