Mwezi uliopita tarehe 29 nilikuwa na safari ya kwenda Tanga, ukizingatia nilikua napasikia sijawahi kufika nikasema ngoja nikaone hizo raha za Tanga,
Safari yangu ilianzia stand ya Msamvu majira ya saa tisa alasiri, nikapanda costa ndogo kwa nauli ya 22k, ndani ya gari nilianza kusikia lafudhi...