kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya kuondoa tatizo la umeme Tanzania ni kwa kuwawajibisha mawaziri kama January Makamba

    Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu. Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

    Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuondoa Machinga limefanikiwa?

    1. Tathmini ya kuondoa Machinga ikoje? 2. Zoezi limefanikiwa? 3. Kama halijafanikiwa kikwazo ni nini? 4. Kama limefanikiwa nini cha kujifunza kwa baadaye? 5. Miji imekuwa misafi sasa? 6. Foleni zimepungua? 7. Wenye maduka wako huru? 8. Mitaa ya katikati ya miji inapitika? 9. Mitaro inaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa usingizini

    SALAAM WAKUU. Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

    My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wajinsi ya kuondoa background noise sound

    Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh. Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer ya yamaha na desktop chumba akiingizi sauti za nje ni sound proof
  7. JamiiForums Tanzania Tamko la kuondoa wamachinga mijini liende sambamba na kuwaondoa watoto wa vigogo kwenye ajira Serikalini

    Inasikitisha mno, Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake. Wakati haya yakiendelea. Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini. Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna. Lakini wanapotaka...
  8. JamiiForums Tanzania Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  9. JamiiForums Tanzania Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

    Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu. Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!! Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi. Baada ya Kufa wakaanza kupeana...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa lamination kwenye document

    Naombeni kuuliza, hivi unaweza kuondoa lamination kwenye cheti kilicholaminate-iwa? Hivi hizi stationary zetu haziwez fanya hiyo kazi?
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  12. JamiiForums Tanzania Shilingi Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza,wanaolipwa CD, DC na wenzao

    Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza. Wanaolipwa CD, DC na wenzao KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jiji la Mwanza limetenga Sh. milioni 251 kwa ajili ya kulipana posho watumishi wake kwa siku 10 ili kusimamia zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu na masikilizano vinaweza kusaidia kuondoa vurugu duniani

    Tarehe 2 ya mwezi Oktoba kila mwaka ni siku ya kimataifa kutokuwa na vurugu (The International Day of Non-Violence). Siku hii ilichaguliwa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kueneza ujumbe wa kutokuwepo kwa vurugu duniani, kupitia elimu na uhamasishaji. Lengo kuu ni kujenga utamaduni wa kuwepo kwa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kagame kuitembelea Msumbiji baada ya kuondoa kero la ugaidi

    Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa...... Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kuondoa Magogo mabuchani

    Habari za mda huu Naenda moja kwa moja kwenye mada. Serikali tumekuwa tukikatiwa nyama kwenye magogo toka enzi za uhuru. Bucha nyingi hasa mikoani ni magogo. Binafsi sijaona madhara au kusikia madhara ila ukweli ni kwamba kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi dunian kote na pia...
  16. JamiiForums Tanzania Sijaelewa sababu ya JF kuondoa uzi wangu Kuhusu Utapeli wa Maimartha Umeondolewa

    Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa. Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
  17. JamiiForums Tanzania Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
  18. JamiiForums Tanzania TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kuondoa VRF ya 6% kwenye HESLB pamoja na mkopo wa bilioni 106 kwa wanafunzi elfu 10 walionyimwa

    Ndugu Wananchi wenzetu, Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 Kwa Sasa,kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza kasi ya kuondoa raia Afghanistan

    Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini Kabul. Rais Joe Biden amesema Marekani imesafirisha watu wapatao 28,000 wiki iliyopita. Maelfu ya...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora ya kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…