kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  2. Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  3. B

    GE2025 Tunasubiri kuona leo mzima swichi atakuja na surprise gani, mtoto hatumwi dukani!

    Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake. Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za...
  4. Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  5. GE2025 Zungu awashukuru wajumbe wa Ilala kwa kumpigia kura

    Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi...
  6. Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

    Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake! Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...
  7. Hata moja ya mababu zako leo wakiamka na kuona umepost uzi wa kulalamika mbele za wanaume wenzako kuwa mkeo anakubania msos atakukana na kurudi kulala

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri. Nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu. Na, wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu" -G. Michael Hopf
  8. Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  9. CHADEMA baada ya kuona slogan yao si lolote, waigeukia CCM. Tuwapuuze

    Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga. Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa...
  10. Mattizo ya wanaume n kuona

    Moja ya matatizo makubwa sana tuliyonayo sisi wanaume siyo pesa, siyo umaarufu, wala siyo mahusiano — ni UWEZO WA KUONA. Wengi wameanguka si kwa sababu hawakuwa na upendo, bali kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni. Unaweza ukamuoa mwanamke anayekaa kama kondoo — mpole, mnyenyekevu, na mtulivu...
  11. Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
  12. A

    KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  13. VIDEO: Huyu ni bibi wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona

    Haya ni maneno ya bibi kizee wa Miaka 72 wewe mwenye miaka 22 unawezaje kupinga ukweli huu? Ukimsikiliza vizuri huyu bibi utabaini mambo mengi yaliyojifichwa kwa muda mrefu ambayo hayasemwi Kwa sauti ya juu. Mpaka inafiki bibi kizee wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona mambo makubwa...
  14. Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  15. Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

    Wakuu! Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
  16. GE2025 Nina hamu kubwa kuona Samia atakavyozunguka peke yake kufanya Kampeini

    Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe. Kwa miaka...
  17. Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  18. Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  19. M

    Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    Habari wadau. ni mimi peke.yangu ama na wengine. Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ? Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi dini mbona anabagua waumini wake.. Wengine hawaielewi dini yake, je wataenda motoni?
  20. Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…