kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Mkong'oto Umewaingia kisawasawa na ma sponsor wao Iran wamebanwa hawana pesa, Hamas yasema ipo tayari ku surrender,

    Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  3. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana. Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  6. JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania. Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
  9. JamiiForums Tanzania Sasa shule zimefungwa, tutegemee kuona mengi humu

    Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday. Nasanzuka 😎.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

    Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai. Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai. 3. Wamasai ni moja ya Makabila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  13. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  14. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sisi tulitegemea ripoti iwekwe hadharani ili tuweze kuona kilichoandikwa na si kusemwa ni ya Rais

    Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo kwenye Mahojiano yaliyochapishwa leo 10, Mei 2026 na The Chanzo, ambapo amesema kuwa alikuwa akisikia kuwa wananchi watulie kwa kuwa Serikali imeunda tume. Hivyo alitegemea baada ya tume kuweka ripoti hadharani ingebaki kuwa wazi na kusomwa na watu wote...
  15. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona tajiri ameanguka kwa mapepo kanisani

    Siijawahi kuona tajiri akiangushwa na mapepo kanisani ila masikini na wenye viator vya kati sasa 😂 😂 😂 Automatically ukiwa masikini unamapepo 😂 Vipi mdau umeshawahi ona tajiri anaangushwa na mapepo?
  16. JamiiForums Tanzania TANZANIA Kutafuta Maridhiano ni Ujinga wa kisiasa! Elimu inaruhusu kuona ujinga huo

    Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya maridhiano. ilikuwa salama kwa sababu hakuna jinsi siasa hizo zinaweza kurudi nchini kwao. Kenya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

    Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui. Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani. Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…