kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

    Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store. Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe...
  2. JamiiForums Tanzania Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

    Nimechukua miaka miwili kuchunguza hili Jambo, kwanini ndoa za siku hizi hazidumu na zimesongwa na milima mingi na mabonde kuliko tambarare. Kila mara watu wanatumia nguvu nyingi kuendesha mahusiano yaliyokufa ndani ya nafsi japo Yana heshima kubwa mbele ya macho ya watu. Baada ya uchunguzi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  4. JamiiForums Tanzania India: Akamatwa kwa kuoa wanawake 18 akijifanya daktari

    Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Ramesh Chandra Swain mwenye umri wa miaka 66, alikamatwa Jumapili usiku katika...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  6. JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  7. JamiiForums Tanzania Kadinali wa Ujerumani ashauri mapadri wa Katoliki waruhusiwe kuoa

    Kadinali mmoja wa Ujerumani ametoa rai kwa Kanisa Katoliki kuondoa kigezo cha useja kwa mapadri wa Kanisa hilo. Katika mahojiano na gazeti la Ujerumani la Sueddeutsche Zeitung, askofu mkuu Reinhard Marx amesema mapadri wa Katoliki wangeruhusiwa kuoa ikiwa wanapenda kufanya hivyo. Pia alitaja...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hujakomaa kiakili acha kuoa

    Moja ya dalili za mwanaume aliekomaa kiakili ni yule ambae mtakosana kwa jambo dogo lakini baadae atakupigia simu na mtaongea hatakasirika siku nzima .. Kwa sababu anajua yeye ni mwanaume ... wanaume wa hivyo wanajua wana mambo mengi ya kuweka akilini na sio ugomvi kati yake na mke wake ambae...
  9. JamiiForums Tanzania Bora nikaoe Tanga

    BORA NIKAOE TANGA Bora nikaoe Tanga, tena binti wa Pangani, Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani, Aongea kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani, Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani. Pangani nikimkosa, natafuta wa Handeni, Niweze peleka posa, nioe niweke ndani, Naenda haraka hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

    Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
  11. JamiiForums Tanzania Kuchelewa Kuoa hakukufanyi ufanikiwe au uwe na unafuu wa Maisha

    KUCHELEWA KUOA HAKUKUFANYI UFANIKIWE AU UWE NA UNAFUU WA MAISHA! Anaandika Robert Heriel. Kwa kijana isipungue miaka 25 wala isizidi 33. OA mapema. Usikawie. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama Familia yako. Wewe, Mkeo na watoto. Chelewa kupata yote usichelewe kuoa au kuolewa. Lazima...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga...
  13. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

    Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
  14. JamiiForums Tanzania Yule Mama akaniambia; umekosea kuwahi kuoa. Je, yuko sahihi?

    Kwema Wakuu! Kama mada isemavyo! Juzi nimeenda kununua Dawa Kama mnavyojua jijini DSM kuna vihoma mshenzi vinavyoendelea. Nilipofika Duka la Dawa nikapokelewa na Mama mmoja mtu mzima, ni Daktari. Akanikaribisha Kwa bashasha zote. Huku akinambia ananionaga na Mdada mmoja, akaniuliza ni mke...
  15. JamiiForums Tanzania Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa! Nilikuja kujuta...
  17. JamiiForums Tanzania Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

    Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo. Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye nami nimepata mchumba wa kuoa

    Wakuu salam! Nimekuwa nikihangaika kutafuta msichana wa kuoa kwa miezi kadhaa bila mafanikio. Nikadiriki kuleta uzi kule love connect kutafuta msichana wa kuoa lakini sikuambulia hata salam ya msichana hata mmoja. Baadae nikawa navizia wasichana wanaoleta maombi ya kutafuta wenza kule love...
  20. JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

    Kuna jamaa hapa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulani hiviii. LOL Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…