Naombeni Maoni yenu Mitazamo yenu Juu ya hili Swala la Kuoa

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,766
Habarini za leo Jumamosi poleni na mihangaiko ya wiki nzima matumaini yangu kuwa wote mpo wazima kabisa wa buheri .

Twende kwenye mada yetu husika na pendwa kama ilivyotajwa hapo juu rejea kichwa cha habari. Kumekuwa na nadharia mbalimbali kuhusu swala la Kuoa kumekuwa na Mitazamo chanya kwa watu mbali mbali kuhusu kuoa miongoni mwao ni Mimi .

Ukimwambia Mtu kuwa nataka kuoa cha kwanza atakuambia .TAFUTA PESA , UNA PESA .Mimi nimekuwa nikishindwa kuelewa kila mtu ukimshirikisha swala hili ushauri ni ule ule sio kwa wakubwa wala wadogo majibu yao ni yale yale

Sasa Tutafute pesa ili tuweze kuoa sio na ukishakuwa na pesa unaweza kuoa .Ama tutàfute pesa tuweze kufanya Mambo yafuatayo sio huu ni mtazamo wangu
1 tutàfute pesa tuweze kufanya sherehe kubwaa na ya kifari
2 tutafute pesa ya kumgharamikia bibi harusi
3. Tutafute pesa tuweze kualika watu wengi

Watu wamekuwa wakiamini kuwa ukiwa na PESA ndo kila kitu kwenye ndoa jambo ambalo halina ukweli

Tupe mtazamo wako juu ya mtu akitaka kuoa

Nawakatia maandalizi ya weekend njema all of you
 
Mimi maisha yote huwaambia rafiki/ndugu zangu jiamini tu unapotaka kuoa kwasababu ndoa ina mengi. Usipo jiamini hata mke atakudharau, unatafuta hela ili mufurahi nyinyi wawili.

Unakuta analeta ndugu yake mmoja ndani, unatafuta hela zaidi anakuja ndugu yako ndani. Sasa ndoa inabadilika kutoka mke na mume na kuwa tegemezi la familia zenu

Lunatic
 
Well said brother lunatics
 
Watu wanaongea sana.....hapo unaambiwa tafuta pesa, hao hao watakuambia wanawake wanapenda pesa achana nao sijui hata ushike lipi
wanawake haohao wanaolalamika wanaume wa siku hizi wana upungufu wa nguvu za kiume ndo hao hao wakimpata mwenye nguvu bado wanasema hawaridhiki mpaka uwanyonye kule..

sasa pengine hata KE nao hawajielewi wanataka nini.. wanataka mwenye nguvu au wanataka kunyonywa?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu ana njia yake, wote hatufanani
Lakini elewa hawa kaumbwa baada ya adamu .

Cha msingi unatakiwa uwe na kazi unayoimudu ndiyo uoe kama huna kazi hamna haja ya kuoa, baada ya kazi alopewa Adam na Muumba kuifanya Kwa ufasaha Sana ndiyo Muumba akamuumbia mwanamke awe msaidizi .

Sasa ukutwe huna kazi mke akusaidie nini sasa

Si lazima uwe na pesa

Cha msingi uwe na kazi unayoimudu ya kukuingizia kipato
 
wanawake haohao wanaolalamika wanaume wa siku hizi wana upungufu wa nguvu za kiume ndo hao hao wakimpata mwenye nguvu bado wanasema hawaridhiki mpaka uwanyonye kule..

sasa pengine hata KE nao hawajielewi wanataka nini.. wanataka mwenye nguvu au wanataka kunyonywa?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Tuongee hili la pesa kwanza, make ni ishu nyeti kuliko hata nyeti zenyewe....
 
Tafuta pesa ili ulee familia vizuri. NA kumbuka hata mke bora ni gharama. Ukiona mke wa bure hata mahali hawadai ujue bomu.
Ndoa sio chanzo cha kipato ok huongeza matumizi
 
Back
Top Bottom