kunywa pombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Sekta ya pombe imepoteza zaidi ya dola bilioni 830 kipindi cha miaka minne, kutokana na Gen Z kunywa pombe kwa kiwango kidogo zaidi

    Gen Z wanapiga sana shisha mnooo! kuliko kunywa hizo ngano, au tusema wanafanya maandamano kila sehemu:cool: =========== Kizazi cha Gen Z kinabadilisha kwa njia ya kimya kimya moja ya sekta kubwa zaidi za matumizi duniani. Katika miaka ya karibuni, vijana wamepunguza kwa kiasi kikubwa unywaji wa...
  2. Damaso

    Changamoto za Kunywa Vilevi Mitandaoni: Hatari ya Tonie Professor

    Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa vijana wengi, lakini pia imegeuka kuwa uwanja wa changamoto zisizo na maana wala faida yoyote kwa jamii. Hivi karibuni, kijana anayejulikana kwa jina la Tonie Professor ameibua mjadala baada ya kuanza kurekodi na kusambaza video...
  3. Dalton elijah

    Chini ya miaka 21 hutoruhusiwa kunywa Pombe

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya pombe, na dawa za kulevya ya mwaka 2025 inapendekeza hatua...
  4. Setfree

    WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  5. Braza Kede

    Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

    Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana. Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia...
  6. W

    Kuna mwanawake nilishindwana nae kwa kiburi chake pro max, mtu aliemuoa kajifunza kunywa pombe na huchelewa kurudi nyumbani

    Kama ilivyo kawaida, Ijumaa huwa napenda kwenda kupumzisha akili moja baridi, moja moto kwenye viwanja. Lakini leo hali ilikuwa tofauti kidogo. Rafiki yangu mmoja aliniomba nimpe kampani twende kwenye kiwanja ambacho yeye amekizoea. Sikuwa na shida, tukasafiri pamoja hadi huko. Tulipofika...
  7. Yoda

    Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

    === Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe, ambayo imekatazwa kwa Waislamu. Taarifa hiyo, ambayo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  9. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini nikinywa pombe hata kidogo Tu kesho yake nashinda mwenye huzuni na kujihisi hatia kama vile nimeuwa mtu?

    Hii hali huwa inanitokea tena sio mara moja, yaani nikinywa pombe kesho yake nashinda na huzuni sana, mpaka muda mwingine najihisi kutaka kulia . Nilihisi ni hangover lakini hali hii sio hangover...kwanini? Au roho yangu haitaki mambo Haya nafanya kumlazimisha Tu.
  10. kyagata

    Hivi kunywa pombe ni dhambi?

    Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo. Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana. Nikawaitikia ila...
  11. a sinner saved by Christ

    Kwa mujibu wa Biblia, ni dhambi au si dhambi kwa Mkristo kunywa pombe?

    Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66. Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote. Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi...
  12. Mr Beach Boy

    Natafuta Mwanasaikolojia, nina msongo wa mawazo. Nahisi kujiua, kuvuta bangi, kunywa pombe vitu ambavyo sijawahi kutumia

    Habari, Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa. Nipo kKgamboni naomba mnisaidie Pm kuko wazi. Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
  13. Superbug

    Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  14. G

    Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  15. Bushmamy

    Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  16. Replica

    Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

    Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo...
  17. Gulio Tanzania

    Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  18. U

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  19. Intelligent businessman

    Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  20. C

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
Back
Top Bottom