Wakuu,
Jana Juni 23, 2025 hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini ilitolewa, ambapo askari wawili kati ya saba walioshtakiwa walihukumiwa kunyongwa huku watano wakiachiwa huru. Kati ya hawa waliohukumiwa kunyongwa ni bwana Gilbert Kalanje ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wilayani...
Hii inamaana kwamba makanisa 2000 nchi nzima na wachungaji na maaskofu wote wa kanisa la ufufuo na uzima kuanzia dar mpaka huko ujiji na maeneo ya katonto huko sumbawanga wote wanaadhibiwa Kwa kosa la mtu mmoja !! Kanisa linafutwa !! Amekosea tundu lissu amekamatwa lissu na taasisi inaendelea na...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu.
Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake.
Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
Toka jpili march 16 mkenya aliyepatikana na dawa za kulevya ktk nch ya Vietnam alitarajiwa atanyongwa march 17 saa 8.30 za usku.
Hadi kufika Leo sijaona taarifa yoyote kuhusu mkenya huyo na serekali ya kenya ili kuwa ina haha kutafuta jinsi ya kumnasua mwezao huko Vietnam asinyongwe...
Habari.
Naomba kufahamu ni nini huyu mwanamama/dada alichokitenda huko nchi za watu mpaka kufikia maamuzi ya kunyongwa
Licha ya kuwa mkuu wa nchi kuomba petition ya kuzuia tatizo hilo bila mafanikio na imeekaeje kitaalamu na ni makosa gani ukiyafanya kwenye nchi za watu hupelekea kunyongwa...
Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025.
Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa...
Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu.
1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa 10 Usiku ndiyo akaanza Kujuta na Kujiona akiandamwa na Kesi ya Mauaji sasa akawa anataka kujinasua...
Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo.
Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu
Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi kusaini hati ya kunyonga😅😃 yaani mwanasiasa anayemuuwa mpinzani, mpiga kelele tu aone huruma kusaini...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa
Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
(Ameandika Malisa G. )
SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo...
Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft.
The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death.
Ms Abubakar's family went to the authorities...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imewahukumu kunyongwa hadi kufa Emanuel Patson Mwesya [24] na David Saimon Mwalindu [25] wote wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la mauaji walilolifanya kwa kumuua Lufingo Asumwisye [37] aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha...
Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa?
Na huzikwaje?
Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku
Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari.
Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.