kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

    Habari wadau. Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia. Tunaitumia kushutia igizo la sanaa. Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
  2. Z

    Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  3. M

    Nahitaji kununua MAGNETIC QUANTUM ANALYSER. Anayeuza tuwasiliane

    Jamani Nina hitaji hichi kifaa kinaitwa MAGNETIC QUANTUM ANALYSER kina pima maradhi mwilini ninashida nacho, So anayeuza au kama unafahamu mahali kinapouzwa Ninakihitaji haraka iwezekanavyo.
  4. M

    Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  5. Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu πŸ‘‹πŸ½, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  6. M

    Fahamu kuhusu spare parts za magari kabla ya kununua pia unaweza kununua kwetu jerry spare parts and services

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu kadhaa badala ya elfu kadhaa, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare...
  7. Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  8. Kununua Hisa benki

    Naomba elimu wakuu katika hili.Naumiza kichwa jinsi kunasua maisha yangu na ya wazazi wangu jamani πŸ™πŸ™πŸ™
  9. Kumbe hata Taulo za Kike Polisi hawawezi kununua? What a shame!

    Yaani ukiona wanavyoumiza Watu, ukienda kituoni wanavyokujibu Vibaya, wakipita kwenye yale magari wanavyodhani wako mbinguni, KUMBE hata Taulo za Kike hawawezi kununua! What a shame! Mnadhulumiwa hadi pesa za Pedi but kucha kuchwa mko na CHADEMA Tu kuwateka, kuwatesa na kuwaua...
  10. Kama unataka kununua ardhi zingatia haya

    Unapokuwa unatafuta kununua kiwanja, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa kama vile eneo na ukubwa wa kiwanja, hali ya kisheria ya umiliki, na hati za umiliki. Pia, hakikisha unafanya uchunguzi wa kina kuhusu eneo hilo ili kuepuka udanganyifu na utapeli. Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapokuwa...
  11. G

    Biashara ya kununua mashamba na kukata viwanja kisha kuuza

    Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
  12. Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  13. L

    Kununua magari kupitia Alibaba.com

    Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China. angalia kwa mfano hii Rav4...
  14. Serikali Kuanza Kununua mahindi ya Ngara

    SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA πŸ“14/04/2025 NGARA βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“ Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2025. Hatua hii itaimarisha bei ya soko la mahindi ambayo imekuwa ikibadirika...
  15. Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

    Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token. Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako. Watumiaji watakua na...
  16. Umewahi kununua samaki waliokaangwa na baadaye kukuta wameoza

    Umewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote. Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
  17. Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu . Pause : Mimi naitwa Mkisi ...
  18. Msaada jinsi ya kununua akaunti kwa ajili ya kudownload games za ps4

    Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
  19. Dada hukua hata na muda wa kununua shangazi kaja!

    #STrending "MIZIGO YA DADA YANGU #ZAIYLISA …… JANA KAONDOKA NA VITU VYAKE VYA KWENYE KITCHEN PARTY ALIVYOTUNZWA ……!!!! SIJALALA MIMI NAIYOMBEA DUA HI NDOA 😭😭😭😭 TARAKA TATU NI NYINGI MJUE." - ✍️ #JumaLokole #SallyTV #NiZaidiYaBurudani
  20. I

    Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25)

    Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25) Na MALEKO GJ| #ElimuYaKompyuta Kununua laptop mpya ni jambo linaloweza kuwa la kusisimua, lakini pia linachanganya kutokana na wingi wa chaguo sokoni. Ikiwa unahitaji laptop ya utendaji wa juu kwa ajili ya gaming, kuhariri video...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…