"Vyombo vya habari vya Magharibi vinatumia dola 800 kwa video moja kuweka umwamba wa masimulizi barani Afrika. China imefanya mengi, lakini imesema kidogo sana."
Hayo yamesemwa na mwandishi wa habari kutoka Rwanda, Eugene Uwimana ambaye amewahi kufanya kazi katika vyombo vya habari vya...