kununua magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari

    Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi. Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na madalali ambao ni viongozi wanapata magari na 10%. Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo...
  2. M

    Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  3. M

    Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  4. Fbn

    Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

    Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
  5. H

    Kwanini watanzania wasiamdamane dhidi ya matumizi makubwa na maisha ya kifahari wanayoishi viongozi wao kama kununua magari ya kifahari kama maV8?

    Kama kweli wanaharakati wanaitakia mema Tanzania basi hii ingekuwa agenda yao ya msingi sana kuanzia ili kuleta mapinduzi ya kweli mchini. Wangeandamana magari ya kifahari ya serikali yauzwe na maslahi ya viongozi na wanasiasa yapunguzwe ili kuleta usawa na unafuu kwa wote. Hayo mengine...
  6. Chachu Ombara

    Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  7. M

    MIKOPO KWA WANAOTAKA KUNUNUA MAGARI NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.

    habari Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  8. M

    Mikopo kwa wanaotaka kununua magari ndani ya nchi na nje ya nchi

    Habari, Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  9. L

    Kununua magari kupitia Alibaba.com

    Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China. angalia kwa mfano hii Rav4...
  10. Bull Striker

    Natafuta conection ya kununua Magari mabovu either kutoka Serikalini au Mashirika mbalimbali.

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia...
  11. Abraham Lincolnn

    Mambo haya yanavunja moyo walipakodi nchini kwetu

    Japo binafsi napenda kusisitiza watu kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo yao, Lakini mambo kama haya ndiyo yanayovunja mioyo ya walipa kodi wengi. Je, hii ni sawa? Mlipa kodi baada ya kulipa kodi anaenda kumwangalia mtoto wake shule njiani anapishana na Toyota GxR V8 ya mkurugenzi iliyonunuliwa...
  12. Oscar Lyrics

    Kuna tofauti gani kati ya kuagiza gari nje ya nchi au kununua magari yanayouzwa 'yard' hapa nchini kwetu?

    Habari za kushinda wakuu? Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard yake anauza magari ambayo ni used kama yale ambayo unaweza kuagiza kupitia makampuni mbalimbali...
  13. Mad Max

    Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI huwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

    Wakuu, kwema. Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au? Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua naichukulia poa. Nikakutana na Runx nyeusi, nikanunua fresh. Shida ikaja, AC kuna kipindi ilizingua...
  14. John abruzzi

    Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

    Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  16. L

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  17. BARD AI

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  18. Fortilo

    Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

    Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya magari yaliyotupwa👇 ====== Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
  19. Kaka yake shetani

    Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  20. Wakusoma 12

    Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

    Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa. Shirika hili za reli linatumia magari...
Back
Top Bottom