kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  2. Shinyanga: Mbaroni akidaiwa kumuua mama yake mzazi na kufika mwili shambani

    Polisi Mkoa wa Shinyanga limefukua mwili wa Asha Mayenga (62), mkazi wa Lugela, Kata ya Nyamhanga, Manispaa ya Kahama uliofukiwa shambani, baada ya kutoweka kwa siku tano. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa, Januari 17, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, amesema mwili...
  3. Unaweza kumuua mwenzako kwa mshtuko😂

    Hizi prank hizi😂😂😂
  4. Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  5. Q

    Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
  6. R

    Arusha: Kada wa CHADEMA kuvunja chungu kisa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa

    Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu aliyetangazwa kiharamu afe. sikiliza
  7. Hivi kwanini baadhi ya Wazazi/Walezi Tanzania ukiuliza umeandika Wosia anaona kama unataka kumuua?

    Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
  8. Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  9. Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  10. Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita. IDF...
  11. U

    Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine

    Wadau hamjamboni nyote? Hezbollah yaanza kujibu mapigo kibabe Taarifa kamili hapo chini: Two Israeli reservists were killed and three others were wounded on Tuesday, as the Israeli military battled Hezbollah in Lebanon and the Iran-backed terror group fired dozens of projectiles at north...
  12. Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
  13. M

    Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

    Very sadful
  14. ARUSHA: Polisi yadaiwa kumuua mfanya biashara Johnson Joseph mbele ya familia yake kwa kushushiwa kichapo huku akiwa amefungwa pingu

    Credit kwa WasafiTv👇🏼 https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  15. Aliyejaribu kumuua Donald Trump alipigana kwenye vita vya Ukraine. Maswali mengi yaibuka

    Ryan Wesley Routh: Picha na Reuters. Shirika la upelelezi la FBI laendelea na uchunguzi wa jaribio la kumuua mgombea wa kiti cha uraisi wa Marekani bwana Donald Trump katika viwanja vya mchezo wa golf vya Trump internation Golf Course. Mtu aliejaribu kumuua bwana Trump ametambuliwa kwa jina la...
  16. Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama

    Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua Mdunguaji huyo!!. Soma Pia: Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa...
  17. Mwanafunzi adaiwa kumuua mwenzake wakibishania umri

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili (miaka 17) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake, John Lema (18) chanzo kikielezwa kuwa, mabishano ya umri. Mwanafunzi huyo mkazi wa Mtaa wa Kalimani, Wilaya ya Moshi inadaiwa yeye na Lema walikuwa marafiki na siku ya...
  18. Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  19. Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

    Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua . Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi. Mimi ni last born wa mzee . Yaani wakuu black people this race is cursed
  20. Case File 1: Mwanaume aliyekodi watu ili kumuua mkewe wakiwa Honeymoon (True Story) Part 1

    Miaka ya mwanzoni mwa 2000 maisha yalikuwa yakienda vizuri kwa dada aliyejulikana kama Ani Hindocha, mwenye asili ya India ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Sweden. Akiwa amemaliza shahada ya Engineering na alikuwa amepata kazi katika kampuni ya Erricson kama Mwandisi wa umeme katika kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…