kumsaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

    Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣 Katia aibu sana
  2. JamiiForums Tanzania Matonya aendelea kusota rumande Kenya, amlilia Diamond Platnum amsaidie

    Wakati Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania, Sefu Shabani, maarufu kama Matonya akiendelea kushikiliwa na mkono wa sheria huko nchini Kenya, ndugu wa karibu anayefahamika kama Omary ambaye yuko nchini Kenya ameelezea kukwama kwa mawasiliano na kuomba msaada wa haraka kutoka kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran

    Wanaukumbi. Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭 Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇 🇰🇷 Korea Kusini haikumsaidia 🇯🇵 Japani haikumsaidia 🇦🇺 Australia haikumsaidia 🇦🇱 Albania haikumsaidia 🇧🇪...
  4. JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  5. JamiiForums Tanzania Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  7. JamiiForums Tanzania Nimejitolea kumsaidia BINTI kiasi cha flani cha pesa sasa roho inaniuma najihisi HATIA

    Msaada kisaikolojia tafadhali! Leo niliitwa na mmoja wa waalimu wake kuwa kuna safari wanafunzi wanapaswa waende wiki hii inayoanza. Mwalimu wake alinikuta na watu wa3 tulikuwa tunazogoa. Alivyonitajia kuwa kuna binti mwanafunzi mmoja anatamani kwenda ila pesa hana nikamjibu palepale kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  9. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  11. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  13. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kumsaidia huyu, atumie dawa gani na hili ni tatizo gani?

    Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na hatimaye hufanya vijipu.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
  15. JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Urusi haingii katika vita kumsaidia Iran

    Habari nimepitia thread kadhaa nimeona wadau wengi wantatizwa kwanini urusi mpaka sasa hajachukua action zinazoonekana za kumsaidia iran katika vita yake na izrael,na wengine wameeda mbali na kumuita urusi ni mnafiki na pia kumuona ni mbinafsi na wengine wakihusisha kuwa mrusi sio wa kumuamini...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  19. JamiiForums Tanzania Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  20. JamiiForums Tanzania Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…