kumpoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Joseph Mwasote: Kutekwa, kuteswa na kumpoteza mwana katika uchaguzi wa 2025

    Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa Mbeya Vijijini mwaka 2020. Lakini uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kwa maelezo yake, uligeuza maisha...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

    Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihofia kumpoteza Mgonjwa katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba (Rubya Hospitali) sababu nilitakiwa nilipe kabla ya huduma

    Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura. Nilifika hospitalini hapo nikiwa na mgonjwa aliyekuwa anahitaji...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Familia ya Qorro, Wasomi na Walumbi wa Kiswahili kwa kumpoteza Profesa Martha Qorro

    Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia kumpoteza Baba Mzee Patrick Qorro miaka kadhaa iliyopita. Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Profesa...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

    https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza Chid Benz.
  7. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  9. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nilidhani mabinti wa dukani wanafanana, najuta kumpoteza binti aliekuwa ananifanya niagize mzigo kila wiki, nimebadili wawili ila biashara inasua

    muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi. Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  12. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
Back
Top Bottom