kumpiga risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Thabit Kombo tutajie kifungu cha PGO kinachosema Polisi akirushiwa jiwe anatakiwa kumpiga risasi mara moja

    Tusiwe tunapelekwa kama mazuzu wakati Vitabu vya sheria na Kanuni vimeandikwa vipo. Ili kujiridhisha na ulichokisema Jana kwenye bunge lenu tuambie ni kifungu gani cha PGO kinachosema Mtu akielekeza jiwe Kwa Polisi he has to shoot at first kama ulivojinasibu Jana. Kama hutataja basi toka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu jamaa Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje

    Yani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje, alipoinama akishika tumbo kwa maumivu akaongezwa risasi matakoni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  5. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

    Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos Askari anaitwa Drambi Vandi huku marehemu amefahamika kwa jina la Bolanle Raheem aliyekuwa na...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tory Lanez akutwa na hatia ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion, anakabiliwa na kifungo cha miaka 20

    Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa uzembe. Kwa mujibu wa Sheria za Marekani, makosa hayo yanamuweka hatarini kufungwa miaka isiyopungua...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

    Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki. Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kumpiga risasi ya paja mtu aliyetaka kumshambulia kwa shoka

    Mlinzi wa Kampuni ya Kachipa aitwaye James Mtongori (28) Mkazi wa Katoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Geita kwa kumpiga risasi pajani, Kijana Kulwa Sylvester (26) Mkazi wa Katoro Tarafa ya Buseresele Mkoani Geita. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema kabla...
Back
Top Bottom