kumbaka

Pranayama is the practice of breath control in yoga. In modern yoga as exercise, it consists of synchronising the breath with movements between asanas, but is also a distinct breathing exercise on its own, usually practised after asanas. In texts like the Bhagavad Gita and the Yoga Sutras of Patanjali, and later in Hatha yoga texts, it meant the complete suspension of breathing.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 62 adaiwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la 6

    Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga. Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Musoma: Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka mlemavu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria. Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  5. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo. Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

    Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita. Chanzo: EA Radio ==== Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake Mchungaji wa kanisa la...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

    Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12. Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kanisa Katoliki lamsimamisha Padri anayetuhumiwa kubaka Watoto

    Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika. Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

    Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane. Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo...
  12. nyambaterito

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

    Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi. 1. Nani...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Atupwa jela miaka 30 kwa kumbaka binti yake wa miaka wa miaka 6

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu Kumbuka Mhotelwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Tsh. Milioni Moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 6. Mhotelwa mwenye umri wa miaka 30 na mkulima akiwa ni mkazi wa Kitwiru, Wilaya ya Iringa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iringa: Dereva Bajaji atupwa Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10. Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

    Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa amehitimu darasa la 7 mwaka 2021 akisubiri kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2022 Hukumu...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mganga asakwa kwa tuhuma za kumbaka, kumpa mimba mwanafunzi wa Shule ya Msingi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma Kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 Wilayani Lindi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Foka Dinya...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alivyomsaidia mumewe kumbaka mwanawe wa miaka minne

    Inaelezwa tukio hili lilitokea Mbarali, mkoani Mbeya bila kuripotiwa. Hiki ni kisa cha kusikitisha cha mtoto wa miaka minne, *Jane Mwikila (si jina halisi), aliyebakwa na baba yake wa kambo na kuharibiwa sehemu za siri huku mama yake mzazi akisaidia kutekelezwa kwa unyama huo. Elias...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juzi kati Mtanzania alikamatwa kwa kubaka mbuzi, haya mwingine amebaka nguruwe, kuna uhaba gani huko bandugu

    MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
Back
Top Bottom