kumaliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kumaliza vita ni kutoongeza wahusika(maadui)

    Hamjambo! 1. Panapokuwa na vita baina ya watu wawili njia pekee ya kutopanua vita hiyo ni kutoongeza wahusika. 2. Mbinu nyingi ni kuhakikisha vita haidumu muda mrefu. Kwa sababu vita kadiri inavyochukuaa muda mrefu ndicho hasara na mgogoro unavyopanuka na kuongeza wahusika. 3. Kupigana muda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  3. JamiiForums Tanzania Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    👇🏻👇🏻👇🏻 "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  4. JamiiForums Tanzania Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

    Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sumu zinazotumiwa na majasusi kumaliza adui zao kwa msaada wa grok

    Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
  8. JamiiForums Tanzania Amos Makala anaondolewa kwenye uenezi wa CCM baada ya kumaliza kazi aliyopewa ya kuijenga kivuli cha CHAUMMA

    Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini. Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia. Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga-

    Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga- . Hakuna biashara itapita bila Rostam kuhusika
  10. JamiiForums Tanzania Public reception ya Mpina imekuwa tofauti na matarajio

    Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Lissu hawajui suala la muda katika kumaliza kesi

    Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo, kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo kwenye mapingamizi kesi haijaanza halafu wanakuja kulaumu mahakama wakati wanashindwa kucheza na muda...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alifanyaje kumaliza ajali?

    Wasalaam Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani? Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji? Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
  17. JamiiForums Tanzania Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

    Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani, Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
  18. JamiiForums Tanzania Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  20. JamiiForums Tanzania Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

    Sina maneno mengi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…