kumaliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

    Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole. IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace. Kwa hiyo a jitahidi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia. Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka. Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi...
  3. JamiiForums Tanzania Msemo wa funika kombe mwanaharamu apite inavyo zidi kumaliza taifa kwa kujifichia kwenye amani,ukarimu na busara

    Huu msemo unatufanya kufanyiwa ujinga mwingi kwa kisingizio cha amani ndio kinatupeleka taifa kubaya. October 29 na yanayoendelea yanataka kuwekewa msemo huu ili kama hakuna lolote lijatokea wala wale sio watu. Na huu msemo kwa sasa ndio unafanya njia ya kunyamazisha hata kama mwanaharamu...
  4. JamiiForums Tanzania NECTA: Watahiniwa 1,168,649 kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2026

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026. Mtihani huo wa kitaifa unatarajiwa kufanyika rasmi tarehe 9 na 10 Septemba...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wana Muharakisha Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi Bila kutoa Uamuzi wa Mashahidi Muhimu

    Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
  6. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026. Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  9. O

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  10. JamiiForums Tanzania Story ya binti alietoroka kwao baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 2014. Baada ya kupatikana hiki ndio kisa chake.. Kuna kitu cha kujifunza hapa

    Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  12. JamiiForums Tanzania Research Supervisor Hatimaye Atasema 'Sasa Tunazungumza'... Nakuhakikishia...

    Neema alikuwa amechoka. Miezi mitatu ya research, na bado literature review ilikuwa "rough draft." Supervisor alimwambia mara nyingine tena: "Rudi uiandike title upya." Alianza kujiuliza: "Mimi ni mjinga? Au kuna kitu sijui?" Hakuwa mjinga. Alikuwa anafanya kazi ngumu kwa njia ya zamani. Siku...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Marekani kuwasilisha mpango wa Vipengele 15 Kumaliza vita, Iran yadai hakutakuwa na Makubaliano kamwe

    Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani. Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
  14. JamiiForums Tanzania Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume

    Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume. Wanaume tumebaki wachache sana.... Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke..... 1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke. 2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Yaani ukifungua Fb kila mtu daktari wa mashine zilizolegea na kuwahi kumaliza, hamna kazi? Wengine tapeli watupu

    Mbona mmeanza kutuogopesha wajamene Yaan kila ukifingua fb unakutana na sijui unatatizo la kuwahi kutandani Una tatixo la mashine kulegeaaaa Wengine vidada nahisi kama vina tumia majina ya kike kytapeli na pengine n wanaume Yaan leoo wamejazana na madaa mpya U a.Kibamiaa piga namba xyz...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi sasa ni mufilisi? Ati milioni 10 zatengwa ili kumaliza foleni Dar!

    Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka. Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi. Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi. Yote tisa, kumi ni hii...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kwa afya ya Museveni hawezi kumaliza awamu hii ya Urais

    Anaonekana clearly hayuko fit, kifo anakijua Mungu ila kwa upate wa akili(mental fitness) hawezi kumudu kwa miaka miwili zaidi ijayo. Atapotea kwenye macho ya umma siku sio nyingi. I don't care much about Uganda politics, but since he and his insane son is number one supporters of killer Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

    Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi kuchanga fedha kumaliza adha ya maji Njombe

    Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho. Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…