kulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  2. CHAGOSI GERALD

    🌹Pamoja na kujua unasell labour lakini bado unaisell for cheap! Are you cheap labour? Lakini ni uvivu wa kulima tu!

    MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA? Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na mfumo, iliyopachikwa akili ya urobot, imewekwa kwenye mtandao wa minyororo isiyoonekana, ili...
  3. N

    Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko

    Ushauri wadau... Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko Uzi tayari..
  4. W

    Tukisherehekea Sikukuu ya Wakulima, hivi ukipewa shamba unaweza kulima heka ngapi?

    Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa. Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya Kilimo, Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi pamoja na Mtu mmoja mmoja kutoka katika shughuli za...
  5. B

    Utalaamu wa kulima zao la vanila

    Wana Jf Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila. Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara anielimishe.
  6. matunduizi

    Ubalozi wetu China unamchango gani katika kuwatafutia masoko wa kulima KWA mazao ambayo yameruhusiwa kuingia CHINA Bure?

    Nasikia Tanzania umepata fursa ya kupeleka china Bure ( bila kukatwa ushuru etc) KWA maZao 18 ya kilimo. Nimemsikia jamaa mmoja TikTok anadai ni muwakilishi wa watanzania wanaoishi china akisifia jambo hilo. Ilipokuja suala la masoko ya kupeleka hizo Bidhaa akaanza kujiumauma, mara watu sijui...
  7. Equation x

    Kwa wasiofuga na kulima ndio uona maisha ni magumu

    Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu. Kwa wale wasiolima na...
  8. CHASHA FARMING

    Si kwamba Wakenya hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula, hapana ni kwa sababu wana akili sana kwenye kilimo Biashara.

    Sisi tunalima mazao ya urith wetu, Mazao ya kuanza kuapangiwa mara usiuze mara uza, mara usiuze yote, mara Mkuu wa wilaya apiga marfuku kuuza Mahindi nje, mara Mkuu wa mkoa apiga marfuku kuuza mahindi mabichi. Wakenya huwa si kwamba hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula wanayo sana ila tu...
  9. Zanzibar-ASP

    Dr. Mpango hapa umetupanga 100%, huwezi kuacha umakamu wa Rais ili uende kulima. Vipi umefukuzwa?

    Kuna vitu ukivisikia tu, hapo hapo akili inakataa. Dr. Philip Mpango, makamu wa Rais wa Tanzania ameamua kufunguka sasa kwa kueleza wazi yeye mwenyewe (sio kusemewa tena) kuwa, kwa sasa anakwenda kustaafu nafasi ya makamu wa Rais, hivyo kuanzia November baada ya uchaguzi mkuu kwisha hatarejea...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya tukuwa tunazaa na kulima Yohana naye anatumbia vingine nani tumuamini?

    Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya/Yerusalemu mpya Kutakuwa na maisha kama ya hapa duniani tu yaani anasema watu watajenga nyumba watalima Wazee hawatakufa kabla ya wakati (hivyo kumbe kuna kufa tena kwenye mbingu hii) Na watazaa watoto kama kawaida haya yote yameandikwa na nabii isaya...
  11. M

    Wakulima Maswa watakiwa kulima zao la alizeti kwa ubora

    WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
  12. Right Marker

    Wazee na wajomba wameacha kulima, wamegeukia kwenye mahari

    Licha ya kuwepo kwa maeneo mengi ya kilimo, ardhi yenye rutuba, na mvua nyingi za kila mwaka lakini wazee na wajomba wa sikuhizi wameacha kulima badala yake ndoto zao wamezitega kwenye mahari za mabinti zao. Sikuhizi kijana akijichanganya tu anakutana na mkeka wa maana. Asishangae kukutana na...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Mitandao ya simu Voda, Airtel Yas waanze kutafuta mashamba ya kulima.

    Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide. Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
  14. Wang chung

    JE NAWEZA KULIMA NYANYA MKOA WA NJOMBE?

    Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani naweza kupanda ? Na ni mbegu aina gani inakubali vizuri njombe ? :.Mawazo Yako ni muhimu sana
  15. Dalali wa Mjini

    Kama unahitaji wafanyakazi wa kulima nipigie simu

    Habari ya jua Kali na AC wanandugu. Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa. Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile. Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika. Heshima na Uaminifu...
  16. M

    Ruvuma: Wananchi wa Kata ya Kilagano tunaendea kulima kwenye Hifadhi ya Mlima Lihanje sababu ahadi ya DC ya kutuhamisha imekuwa ‘ahadi hewa’

    Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo katika Mlima huo. Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile alipotembelea eneo hilo Desemba Mwaka...
  17. The ice breaker

    Natafuta kijana wa kulima

    Habari Natafuta man power ( kijana) wa kulima bustani za mboga mboga. Eneo la kazi ni Kimara mwisho , dar es salaam 0616274277
  18. Equation x

    Kwa nini mtu akistaafu, atasema anaenda kulima au kufuga?

    Kwa nini hataji shughuli zingine, kama kuendesha shughuli za kiwanda, kusimamia biashara na zinginezo? Au kilimo na ufugaji cha uzeeni kinalipa zaidi kuliko kile ambacho utawekeza nguvu ujanani? Mimi nipo tayari kijijini, njooni tulime na kufuga; ila ujiandae kuota sugu mikononi.
  19. Samia atosha tukutane2030

    Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
Back
Top Bottom