kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Appartments design 2bedrooms ,lounge kitchen 2verandah . Plot of 600sqm 4units call us for design and construction services

    SISI TUNAHUSIKA NA DESIGN + UJENZI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  3. JamiiForums Tanzania Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  4. JamiiForums Tanzania JOKE: Kwanini mbu hupokea kipigo kikubwa kuliko umbo lake?

    Majibu na: CHAT GPT Haha, Ukweli ni kwamba watu hawampigi mbu tu, bali wanatoa adhabu ya kihisia kwa "uhalifu" mkubwa wa sauti usiku na kuchukua damu bila ruhusa. Lakini kiuhalisia, sababu kuu ni hizi: 1. Kasi ya mbu ni kubwa na ni mdogo sana – ili uhakikishe umempata, lazima upige kwa nguvu...
  5. JamiiForums Tanzania Ukipunguza Matamanio Biashara ni Chaguo Sahihi Kuliko Ajira Kwa karne hii.

    GT Huu uzi uwafikie graduates na hustlers Kuna msemo usemao huwezi kutajirika kwa hela ya mshahara huu ni ukweli kabisa kufanya kazi kwa mtu kunanyima uhuru utakuwa mtumwa milele mishahara ya Tanzania ni midogo sana ukilinganisha na gharama za maisha. Wawekezaji wa Tanzania 80% ni wahindi...
  6. JamiiForums Tanzania Buriani Mzee Msuya, ulipenda kwenu kuliko kwetu

    Tukiwa watoto tulipokuwa tukijisomea kwa kukoka moto wa Kuni na vibatali kupata mwanga tulikuwa tunaambiwa huko mwanga na usangi kwao Cleopa Msuya umeme umesambazwa hadi migombani, kwenye mikahawa na unawaka hadi kwenye mazizi ya nguruwe . Kwakuwa sisi tulikuwa hatujafika huko Mwanga tulikuwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

    Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn trend ya vifo ni vingi kwa wanaume kuliko wanawake?

    Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana. Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue...
  10. JamiiForums Tanzania Tambua sauti yako ina nguvu kubwa kuliko unavyodhani, itumie kwa hekima

    "Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno." Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine tunadhani tunazungumza kwa upendo, lakini kwa bahati mbaya, maneno yetu huacha majeraha yasiyoonekana...
  11. JamiiForums Tanzania Onesimo Ole Ngurumwa: Ni Bora Demokrasia ndani ya Udikiteta kuliko Udikteta ndani ya Demokrasia, Uganda ndio Case Study

    Wakili Onesmo Olengurumwa Onesmo Kasale Olengurumwa ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kupitia ukurasa wake wa X ametoa somo kuhusu masuala ya Demokrasia akilinganisha mifumo ya Demokrasia kati ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kweli uislamu ndiyo dini ya haki kuliko zingine

    Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

    Ukweli ndio huo. Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia. Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee. Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  15. JamiiForums Tanzania Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

    Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo. Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

    Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
  17. JamiiForums Tanzania CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

    Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga. Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje. Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini watu huonekana kuwa na furaha zaidi wakiwa ‘single’ kuliko wakiwa kwenye mahusiano?”

    Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…