kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  2. JamiiForums Tanzania Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

    Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu. Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi. Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
  3. JamiiForums Tanzania Tusifikie hapa kwasababu hali inaweza kuwa mbaya zaidi , ni bora kushauri vyema kuliko kushauri hivi alivyo shauri huyu mtumishi

    Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu/Dini na Siasa kipi kilianza duniani na kipi kina nguvu kuliko mwenzie!

    Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo. Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nilipoteza Kazi kipindi ambacho niliihitaji kuliko nyakati yoyote

    Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam! Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho Langu Humu Jamiiforums Licha Ya Kuwa Member Kwa KipindI Kirefu Kidogo Nilipoteza Ajira Yangu November...
  6. JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa watu makini tutatambua kuna faida kubwa kwa CCM na Tanzania kuwa "Gwajimalized" kuliko kuwa "Samialized" kwa sababu hizi hapa za msingi

    Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA: MKIWA UMOFIA NI BORA KUWA OBIERIKA KULIKO KUWA OKONKWO

    "Things fall apart" ni moja ya kazi nzuri sana ya fasihi yenye mafunzo kedekede iliyofanywa na Hayati Chinua Achebe. Kwa wahenga wenzangu mtaikumbuka riwaya hii kama mojawapo ya riwaya za kiada kwenye English Literature kwaajiri ya mitihani ya kidato cha nne. Kwafaida ya wasioifahamu riwaya hii...
  9. JamiiForums Tanzania Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wale vijana wa UVCCM waliosema wapo wabunge wanaosema afadhali Magufuli kuliko huyu walitaka kumanisha nini?

    Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa sirini huko husema Bora alivyokuwa Magufuli kuliko huyu Ile kauli ili lenga kumanisha nini
  12. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tusijidanganye, Wakenya wana IQ kubwa kuliko sisi

    Chukua hii clip Kila mtu azungumze kwa Lugha yake mama halafu tuchambue mantiki ya kile anachoongea mbunge wa Tanzania bungeni na kile anachoongea huyo mwanafunzi kwenye mijadala ya kielimu. Utaona kuwa Tanzania na Kenya zina utofauti mkubwa sana. Speaker anakupa dk 5 ujenge hoja kwaajili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Football business, Simba imepata hasara kubwa kufikia fainali shirikisho kuliko isingeshiriki kabisa

    Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya ndilo Taifa jirani lilo na undugu mkubwa zaidi wa damu na Tanzania kuliko taifa lingine lolote.

    Kwa Tanzania mataifa jirani yanayotunguza taifa ambalo kwa undugu wa damu wa makabila tunao share kwa wingi zaidi na Kenya hivyo kulifanya kuwa taifa ndugu yetu zaidi kuliko wengine, hata kama hatupendani kuliko hao wengine. Makabila yanayopatikana Kenya na Tanzania ni mengi zaidi kuliko ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je wanasiasa serikalini ni vilaza kuliko zamani?

    Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella , warioba, salim, Msuya, Nyalali...... hata kwenye majeshi Mahundi. Je tunawatu bado wenye vipaji...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Taifa: Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP)

    Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim. Sasa tuna waziri ambaye hajulikani kwasababu nchi imefunikwa na matukio ya ajabu ajabu na kiki za kiusalama
  19. JamiiForums Tanzania Algeria ni salama zaidi kwa Simba kuliko Zanzibar

    Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na vikokoto vyake alivyovizoea kila siku. Watu wakamshangaa huyu vipi, ana akili kweli? Mwisho wa siku...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…