kulala

Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.

They belongs to other backward class.

View More On Wikipedia.org
  1. Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

    Ni Jumatatu tulivu tenaaa Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia...
  2. Marais na wageni mashuhuri waliokuwa wakifika na kulala Chato walikuwa 'Accomodated' wapi?

    Baada ya kuonaa Waziri Mkuu akitua katika kiwanja cha kimataifa cha Chato kufunga kongamano la vijana nimekumbuka ziara za Marais awamu aliyopita huko Chato Bila shaka tunakumbuka kuwa awamu iliyopita Chato ilipokea marais na wageni mashuhuri kadhaa waliokuwa wakikutana ma mwenyeji wao Hayati...
  3. Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  4. M

    Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

    Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje Kodi 350k Mafuta gari 50(week) Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks) Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k Nywele karibia 60k kila week Kucha 15 kweek Matimizi binafsi 50k week Na mengine mengi Halaf mpuuzi...
  5. P

    Natafuta kazi yoyote ile ya kujitolea ilimradi nipate sehem ya kulala na kula tu

    Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu 🙏🙏🙏
  6. Kwanini jiko la mkaa ukiwa ndani linaweza kupelekea vifo

    Imekuwa sio ajabu kusikia watu wamekutwa wamefariki ndani baada ya kulala na kuacha jiko la mkaa likiwaka. Lakini swali ambalo watu wamekuwa wakijiuliza ni, nini hutokea na kusababisha kifo pale mtu anapoacha jiko la mkaa likiwa linawaka huku akiwa amefunga madisisha na vyanzo vingine vya...
  7. Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

    Habari wadau..! Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi . Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa. Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama...
  8. Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  9. Kanikasirikia kisa sijaenda kulala kwake

    Huyu mpenzi wangu sijui ana shida gani? Yuko na kazi zake kapanga mahala flani hivi. Kuanzia tuanze mahusiano ni mara chache tu ndio yeye huja kulala kwangu ila mara zote anataka mimi ndio nitoke niende kulala kwake. Majuzi nilikuwa nae kwake, juzi pia nililala kwake, usiku wa kuamkia leo...
  10. Arusha: Moto wasababisha familia kulala nje

    . Moto uliowaka kwa siku tano mfululizo katika nyumba iliyopo Kijiji cha Olovolosi wilayani Arumeru umesababisha wapangaji kulala nje ili kuokoa maisha yao. Mwenyekiti wa kijiji hicho, Emmanuel Losiyoni amesema moto huo ulianza Julai 7 na unaunguza nguo, magodoro na vyombo vya ndani tu. "Baada...
  11. Fahamu njia zitakazokupa usingizi au kulala vyema

    Nini hasa manufaa ya kulala au usingizi mzuri? Huimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili. Hujenga na kuimarisha kinga mwili. Hukuweka katika hali nzuri (mood). Hukuongezea kumbukumbu. Hurefusha maisha. Huboresha tendo la ndoa. Huondoa msongo wa mawazo. Haya ni baadhi tu ya manufaa ya kulala...
  12. Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    ANGALIZO Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
  13. B

    Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

    Nategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini. Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani...
  14. S

    Kunakucha au Kumekucha ,hakuna tena kulala si shwari tena - Tume ya uchaguzi huru

    Sasa sio shwari tena,Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi ,CCM wakitaka au wasitake hii sio nchi yao na kama haitoshi watambue hawana hati miliki, Tume huru ya uchaguzi ni lazima kuliko kifo maana kifo kinaweza kuchelewa ,ila Tume huru inahitajika sasa na hakuna sababu ya kuchelewa na...
  15. Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...
  16. Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi! Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
  17. Fahamu mambo haya

    1) Ukikaaa kwa dakika 15 bila kutikisika lazima ulale.. 2) Mara nyingi mtu anapolia hukumbuka matukio ya nyuma ndio yanamuongezea kilio. 3) Kwa sekunde 3 baada ya kuamka kutoka usingizini binadamu huwa hakumbuki jambo lolote. 4) Watu wenye aibu ndio watu wenye akili zaidi na waaminifu...
  18. Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

    KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA? Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la ndoa kwa wanaume. Eneo la mbele la ubongo ‘pre –frontal cortex’, ambalo linahusiana na ufahamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…