Wadau habari za mida,
Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe.
Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote?
Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe...
Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki.
Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp.
Soma hapo chini :-
Wanasema hofu huwafanya hata...
Salam wakuu,
Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana.
Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo...
Sekta ya Bank inazidi kukua.
Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni.
Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali.
Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuzitumia:
1. Pata Wateja Wapya
Hii ndiyo njia ya kwanza ya kukuza biashara. Wateja wapya...
Habari wakuu .
Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six .
Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent .
Uwezo wangu upo katika haya maeneo .
Kufundisha
Kufanya mentoring
Kuwashawishi wazazi ili wawalete wanafunzi kujiunga katika shule...
WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa...
Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
feki
gen z
jitafakari
kizazi cha miaka ya 90
kukua
kukwama
mtume petro
nafsi
pasaka
pasaka 2025
tafakari ya pasaka
ufufuo na maisha
umri
utu
utu uzima
waislamu
wakristo
yesu kristo
BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics.
Jibu la BOT...
Kila masika na mbu wake, lakini mbu hawa wa kukua sana shughuli za Bandarini, Serikali ijipaange kutatua.
Mizigo na shehena za bidhaa zinazoteremshwa Bandarini zimekuwa nyingi mno.
Miundombinu ya barabara za kutoa mzigo na kupeleka mzigo bandarini limezua tatizo kubwa la barabara kuelekea...
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka.
Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa
ILA,
Ila naamini Uchumi sio hesabu.
Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo.
Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa.
Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui.
Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
Utalii ni Neno Pana na lenye manufaa makubwa kwenye uchumi wa taifa letu la Tanzania.
Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania unategemea rasilimali mbalimbali ikiwemo rasilimali inayohusisha vivutio vya utalii na utalii wenyewe.
Kutokana na umhimu wake kwenye pato la taifa utalii hutakiwa kutangazwa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali.
Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.