Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni hali ya kuyapa umbo au (kibebeo) mawazo ili yaweze kufika kwa hadhira ili aidha kuelemisha...
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS
Diminishing ni kupungua kwa kitu
Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani.
Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
Habari zenu,
Drone Online Ads tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika ujasiriamali Tanzania, na hasa jiji la Dar ,sasa tumeanza huduma ya kusaidia wajasiriamali kukua katika maeneo yafuatayo
1. Kukuza mauzo
2. Uanzishaji wa matawi mapya ya biashara
3. Home delivery
Wasiliana nasi kwa...
Rafiki yangu mpendwa
Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa.
Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa.
Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani.
Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu.
Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa utandawazi, teknolojia pamoja na huduma za intaneti zimeboresha kwa kiasi kikubwa hali iliyochangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.