kuku

  1. JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  2. JamiiForums Tanzania Kuku Chotara๐Ÿ” Wanaojilisha na Kujigharamia wenyewe๐Ÿ’ฐ? Hivi ndo jinsi ya kuwafikisha Hali Hiyo Kwa Siku 84 au Chini

    โŒ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu ๐Ÿ’ธZaidi Kuliko Unavyofikiria Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
  3. JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

    Habari za kazi Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha mifugo kuanzia 1000kg kwa saa pia inapatikana kwa kutumia Mixer.Huduma hizi zinapatikana Mbeya japo...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu โ€“ afisa mstaafu kutoka Mwanza โ€“ anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  5. JamiiForums Tanzania Wamevuka mabahari yoooote, kuja kituuzia miguu ya kuku ๐Ÿ™„

    Yani miguu ya kuku 2000.Raisi wanatuonaje.
  6. JamiiForums Tanzania Wameliamsha Dude. Gwajima asjibiwe ili akasirike amwage Mchele kwenye kuku wengi

    Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua. Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
  7. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  8. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    โš–๏ธUzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  10. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ” Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ’ฐ

    Habari ndugu mfugaji! ๐Ÿ‘‹ Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi ๐Ÿ’ช๐Ÿ“ Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ“‹ Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
  11. JamiiForums Tanzania Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

    Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina ๐ŸฆŽ wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75. Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
  12. JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  13. JamiiForums Tanzania JE WALIJUA SHAMBA LA KUKU BORA?

    ๐Ÿ“S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED๐Ÿ“ AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ ๐Ÿ“ โ˜Ž๏ธ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  14. JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! ๐Ÿ“ Mwanza | ๐Ÿ” Mashamba Mawili | ๐Ÿ’ก Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  15. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu ๐Ÿ‘‹๐Ÿฝ, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  16. JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani. Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
  18. JamiiForums Tanzania Chakula cha mchana: chips kavu, yai na kuku kidari

    Karibuni, Raha jipe mwenyewe, kula chips yai haviondoi uanaume wako.
  19. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ” Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    ๐Ÿฃ Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ Bajeti ๐Ÿ’ธ โ€“ Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: ๐Ÿ”น Chakula ๐Ÿ”น Dawa ๐Ÿ”น Vifaa ๐Ÿ”น Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  20. JamiiForums Tanzania Watu 12 wafa kwenye vita vya kuku

    Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi. Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku. Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ